Maajabu ya kitunguu maji katika kutibu tatizo la nguvu za kiume

SHARE:

Je, kuna yeyote mwenye hofu ya kuyumba kwa ndoa yake kunakotokana na uwezekano wa kupungua kwa uwezo wa kupeana raha baina ya wawili? Kama j...Je, kuna yeyote mwenye hofu ya kuyumba kwa ndoa yake kunakotokana na uwezekano wa kupungua kwa uwezo wa kupeana raha baina ya wawili?


Kama jibu ni ndiyo, basi shaka hiyo haipaswi kuachwa bila kufanyiwa kazi. Ulaji wa vitunguu wenye kuzingatia maelekezo sahihi ya wataalamu wa lishe ni suluhisho tosha la namna bora ya ‘kunogesha’ ndoa, sababu ikiwa ni uwezo mkubwa wa chakula hicho katika kuupa mwili nguvu ya kushiriki jambo hilo kwa namna iliyo bora zaidi.


Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, ambazo baadhi zinachambuliwa kwa kina katika mitandao yenye habari za mapenzi na lishe kama wa ‘knowyourlove.wordpress’, ni kwamba ulaji wa vitunguu huwaongezea wawili uwezekano wa kufaidi ndoa yao kwa kuwapatia afya bora ya mwili kwa ajili ya mambo ya ndoa.


Inaelezwa kuwa vitunguu ni chanzo cha utitiri wa madini muhimu yanayohitaji mwilini, yakiwamo yale yanayosaidia kurekebisha kiwango cha sukari ambacho hutajwa kuwa chanzo cha kuyumbisha uwezo wa wawili katika kuridhishana pindi kisipodhibitiwa ;


kuimarisha afya ya moyo; kuzuia kansa; kuukinga mwili dhidi ya vidonda vya tumbo na pia kuzuia maambukizi ya vimelea mbalimbali vya magonjwa mwilini.


Kwa mujibu wa madaktari na pia wataalamu wa lishe, inaelezwa kuwa vitunguu ni chakula chenye kiasi kikubwa cha ‘aphrodisiac ‘, ambacho ni kiini lishe muhimu kwa masuala ya unyumba.


“Husaidia pia kuongeza nishati na kuimarisha viungo vya mwili vinavyohusika katika kuzalisha vichocheo vya tendo la ndoa.


Vitunguu pia huongeza mwilini kiwango cha testosterone na kusaidia kuongeza nguvu ya kushiriki tendo la ndoa,” mmoja wa madaktari aliiambia Nipashe kuhusiana na umuhimu wa vitunguu mwilini.


NAMNA YA KUVITUMIA


Inaelezwa kuwa faida za vitunguu mwilini ni nyingi, lakini zote hupatikana vyema pale mlaji anapozingatia maelekezo sahihi kabla ya kuvijumuisha katika mlo wake.


Miongoni mwa njia zinazoweza kumpa faida mlaji mwenye nia ya kupata ufumbuzi wa tatizo la nguvu za kiume (kwa kina baba), kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, ni pamoja na kuvitafuna vikiwa vibichi au mcghanganyiko wake baada ya kupondwa.


“Unaweza kukata kitunguu katika vipande vinne na kuvisaga kwa blenda (blender). Baada ya hapo, kunywa juisi yake ambayo husaidia sana kumuongezea mlaji uwezo wa kushiriki tendo la ndoa,” alisema mtaalamu mwingine kabla ya kuongeza kwa kutoa tahadhari:


“Juisi (ya kitunguu) ni chungu na hivyo unapaswa kunywa polepole ili kutoushitua mfumo wa mwili kwa kuinywa ghafla na kwa haraka.


Kuongeza vitunguu swaumu katika juisi ya vitunguu vya kawaida pia ni jambo zuri na husaidia sana kuongeza nguvu za tendo la ndoa. Mchanganyiko wake unaweza kuitwa dozi ya mapenzi kutokana na faida zake nyingi mwilini kwa ajili ya kufanikisha tendo la ndoa.”


Aidha, inaelezwa kuwa njia nyingine nzuri ya kutumia vitunguu ni kwa kuvikata vipande vidogo vidogo na kuvikaanga kwa jibini, kisha kuvila pamoja na asali kama chakula cha kwanza kuingia mwilini asubuhi.


Mchanganyiko huu unatajwa vilevile kuwa nafaida kubwa za afya ya tendo la ndoa na pia huupa mwili kiasi kikubwa cha kiinilishe cha ‘aphrodisiac’.


Vitunguu husaidia pia kuongeza urembo katika ngozi za walaji wake, hasa kina mama.


COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Maajabu ya kitunguu maji katika kutibu tatizo la nguvu za kiume
Maajabu ya kitunguu maji katika kutibu tatizo la nguvu za kiume
http://mtembezi.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/kitunguu-681x454.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/maajabu-ya-kitunguu-maji-katika-kutibu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/maajabu-ya-kitunguu-maji-katika-kutibu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy