MAGARI SITA YAGONGANA KWA PAMOJA MKOANI MBEYA

SHARE:

Watu wengine tisa walijeruhiwa kati yao wanaume ni wanne na wanawake watano. Aidha kati ya majeruhi hao, wawili wamelazwa Hospitali ya Ru...

Watu wengine tisa walijeruhiwa kati yao wanaume ni wanne na wanawake watano. Aidha kati ya majeruhi hao, wawili wamelazwa Hospitali ya Rufaa Mbeya na saba wamelazwa Hospitali Teule Ifisi – Mbalizi. Chanzo cha ajali kinachunguzwa hata hivyo inahisiwa kuwa dereva wa lori alikosa umakini na kuanza kugonga magari mengine ambaye pia amepoteza maisha katika ajali hiyo. Upelelezi unaendelea ili kubaini chanzo halisi cha ajali na dereva aliyehusika.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio makubwa ya uhalifu.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaongeza jitihada za kuzuia na kupunguza matukio ya ajali za barabarani kwa kuhakikisha madereva na watumiaji wengine wa barabara wanafuata sheria na alama za usalama Barabarani. Aidha kumekuwa na ajali 01 ya vifo kama ifuatavyo:-
Mnamo tarehe 14.09.2017 majira ya saa 19:45 usiku huko eneo la Mlima Iwambi, Kata ya Songwe, Tarafa ya Usongwe, Wilaya ya Mbeya Vijijini, Mkoa wa Mbeya katika barabara kuu ya Mbeya kwenda Tunduma, kulitokea ajali iliyohusisha magari matano yenye namba za usajili T. 231 BME aina ya Tipper ikiendeshwa na dereva FRED MWAKALINGA [33] Mkazi wa Itiji – Mbeya ikitokea Mbeya mjini kwenda Mbalizi, Gari yenye namba za usajili T. 515 ARE aina ya Fuso iliyokuwa ikiendeshwa na dereva EMMANUEL JULIUS [29] Mkazi wa Itiji ikitokea Mbalizi kwenda Mbeya mjini, Gari yenye namba za usajili T.126 DJZ aina ya Fuso basi iliyokuwa ikiendeshwa na AMOS MWAIKAJA @ CHODO [40] Mkazi wa Kagera – Soweto, Gari yenye namba za usajili BCA 8730 na tela BCA 8733 ikiendeshwa na EVANS MUSONDA [39] raia wa Zambia na Gari yenye namba za usajili T.570 CKC aina ya Toyota dyana ikiendeshwa na dereva AMOS BENSON pamoja na Pikipiki moja ambayo haijafahamika namba zake za usajili ikiendeshwa na dereva aitwaye JANIA JACKOBO @ SANGA [27] Mkazi wa Iwambi.
Katika ajali hiyo watu wanne walifariki dunia ambao ni dereva wa Gari yenye namba za usajili T.570 CKC AMOS BENSON, mwendesha Pikipiki ambayo bado hajafahamika namba zake za usajili aitwaye JANIA JACKOBO @ SANGA [27] Mkazi wa Iwambi, dereva wa Gari lenye namba za usajili BCA 8730/BCA 8733 EVANS MUSONDA [39] raia wa Zambia na Mwanamke mmoja ambaye bado hajafahamika ambaye alikuwa abiria kwenye Gari yenye namba za usajili T.570 CKC Toyota Dyana.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Naibu Kamishina wa Polisi MOHAMMED R. MPINGA anatoa wito kwa Madereva kuwa makini wanapotumia vyombo ili kuepuka ajali zinazoweza kuepukika. Aidha Kamanda MPINGA anawataka madereva kufuata, kuheshimu na kuzingatia sheria na alama za barabarani ili kuepuka ajali.
Imesainiwa na:
[MOHAMMED R. MPINGA – DCP]
KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAGARI SITA YAGONGANA KWA PAMOJA MKOANI MBEYA
MAGARI SITA YAGONGANA KWA PAMOJA MKOANI MBEYA
https://3.bp.blogspot.com/-TVTcfOvhnZw/Wb4q7jmQvaI/AAAAAAAAeyY/9YE3oYI_J7IxJF-6i08-agzWggLR66WuQCLcBGAs/s1600/xaja3-750x375.jpg.pagespeed.ic.7aD_ZuqALv.webp
https://3.bp.blogspot.com/-TVTcfOvhnZw/Wb4q7jmQvaI/AAAAAAAAeyY/9YE3oYI_J7IxJF-6i08-agzWggLR66WuQCLcBGAs/s72-c/xaja3-750x375.jpg.pagespeed.ic.7aD_ZuqALv.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/magari-sita-yagongana-kwa-pamoja-mkoani.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/magari-sita-yagongana-kwa-pamoja-mkoani.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy