MAJALIWA AZINDUA AWAMU YA PILI YA MRADI WA KUUJENGEA UWEZO MHIMILI WA BUNGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Ireland Nchini, Mhe. Paul Sherlock (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini, Bw. David Omozuafoh (kulia) baada ya kuzindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017
PMO_7848
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) baada ya kuzindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kushoto ni Balozi wa Ireland Nchini, Mhe. Paul Sherlock
PMO_7796
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Kulia ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
PMO_7784
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.Kushoto ni Spika wa Bunge, Job Ndugai.
PMO_7754
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akitoa maelezo kabla ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Kuzindua Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017.
PMO_7838
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia kwake ) wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi walioshiriki katika Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuujengea Uwezo Mhimili wa Bunge (LSP- 11) kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Septemba 14, 2017. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post