MAJIMAJI FC WATEMBEZA BAKULI KWA WADAU WAKE WA SOKA KUJITOKEZA KUCHANGIA KLABU HIYO

SHARE:

Uongozi wa Klabu ya Majimaji yenye makao makuu Songea Ruvuma Tanzania mapema jana Septemba 19,2017, imetoa namba maalumu ammbazo ni wadau...

Uongozi wa Klabu ya Majimaji yenye makao makuu Songea Ruvuma Tanzania mapema jana Septemba 19,2017, imetoa namba maalumu ammbazo ni wadau wataweza kuchangia kupitia 0744000262 na  0785212253 , zenye jina la MajiMaji Football Club.
Namba hizi ni kwa ajili ya wadau mbalimbali wakereketwa,wanachama na wapenzi wa Klabu hiyo popote walipo Tanzania kuweza kuichangia kwa kiwango chochote ambacho watajaliwa nacho ili kuiwezesha kujiendesha katika ligi kuu Tanzania bara.
Pamoja na mengine yote Klabu imeona ni bora ibuni njia mbalimbali za kuweza kujipatia kipato ili iweze kujiendesha vyema, na hii ni kutokana na hali ya ukata iliyokuwa nayo.
Kwa mujibu wa Onesmo Ndunguru wa idara ya habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, amebainisha kuwa, Klabu ina vyanzo kadhaa vya Mapato ikiwemo jezi za Mashabaiki ambazo zipo mtaani hivi sasa na bado uongozi unaendelea kutafuta Vyanzo mbalimbali vya mapato na wadhamini mbalimbali pia ili Klabu iishi vizuri.
Tunashukuru sana Uongozi wa Sokabet kwa kukubali kutudhamini kwa mkataba wa mwaka mmoja,Sasa hapa kuna baadhi ya wadau mbalimbali kama panawachanganya kidogo,Sokabet wao wamechukua Upande wa Mishahara kwa Wachezaji na Benchi la Ufundi kwa mwaka huo mmoja,Sasa Kama bodi bado ina kazi ya kufanya maanake kuna uendeshaji mwingine katika Klabu kama vile kambi,Chakula,Safari n.k
Kwakuona hilo kama uongozi ukabuni vyanzo vingine vya mapato huku wakiendelea kutafuta udhamini mwingine katika sehemu mbalimbali.
Mwisho nawashukuru waandishi wenzangu wa habari kwa ushirikiano mnaonipa.Mungu wabariki sana katika kazi zenu.
Kwa sasa Majimaji wapo katika maandalizi ya  kuelekea mechi yao dhidi ya Njombe Mji.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MAJIMAJI FC WATEMBEZA BAKULI KWA WADAU WAKE WA SOKA KUJITOKEZA KUCHANGIA KLABU HIYO
MAJIMAJI FC WATEMBEZA BAKULI KWA WADAU WAKE WA SOKA KUJITOKEZA KUCHANGIA KLABU HIYO
https://4.bp.blogspot.com/-W3JQZ2DT9SU/WcKay_bGFUI/AAAAAAAAfAk/p-qRbpxH4SMD1EJSRH3AFIWro2fw06jmQCLcBGAs/s1600/Majimaji-Fc-Logo.png
https://4.bp.blogspot.com/-W3JQZ2DT9SU/WcKay_bGFUI/AAAAAAAAfAk/p-qRbpxH4SMD1EJSRH3AFIWro2fw06jmQCLcBGAs/s72-c/Majimaji-Fc-Logo.png
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/majimaji-fc-watembeza-bakuli-kwa-wadau.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/majimaji-fc-watembeza-bakuli-kwa-wadau.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy