Makalio ya dada mpita njia yamtoa uhai kijana mkoani pwani

SHARE:

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Ramadhani Habibu mkazi wa Kijiji cha Vilabwa, Wilaya ya Kisarawe, kwa...

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Ramadhani Habibu mkazi wa Kijiji cha Vilabwa, Wilaya ya Kisarawe, kwa tuhuma ya kumchoma kisu na kumuua mwenzake chanzo kikiwa ubishani wa makalio ya mwanamke aliyepita njiani.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Jonathan Shanna amethibitisha kutokea kwa tukio hilo akieleza kuwa, mtuhumiwa huyo amekamatwa kwa kosa la mauaji.

Alisema Ramadhani anadaiwa kumuua Emmanuel Nassor (26) kwa kumchoma na kisu kifuani baada ya kutokea ubishi kati yao kuhusu ukubwa wa makalio yaa msichana aliyewapita wakipiga soga kijiweni.

“Kuna mdada alipita sasa marehemu na mtuhumiwa walikuwa na wenzao kijiweni wakaanza kuzozana kuwa yule mdada ana chura wengine wakasema la kawaida.” 

Kamanda Shanna alisema ubishi ulikuwa mkubwa ndipo Ramadhani kwa hasira akakimbia nyumbani kuchukua kisu alichokitumia kumchoma mwenzake hadi kumuua.

Alisema mtuhumiwa alikimbia ambapo siku ya Septemba 27 majira ya saa 2.30 asubuhi aikamatwa.

Kamanda huyo aliwaasa vijana kuacha tabia ya kupoteza muda vijiweni badala ya kujishughulisha kimaendeleo .

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Makalio ya dada mpita njia yamtoa uhai kijana mkoani pwani
Makalio ya dada mpita njia yamtoa uhai kijana mkoani pwani
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/makalio-ya-dada-mpita-njia-yamtoa-uhai.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/makalio-ya-dada-mpita-njia-yamtoa-uhai.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy