MANCHESTER CITY YAPIGA MKONO LIVERPOOL YENYE WACHEZAJI 10

Timu ya Manchester City imeichakaza Liverpool iliyobakia na wachezaji kumi dimbani na kuibuka na ushindi mnono wa magoli 5-0, na kutuma ujumbe mzito kwa timu za ligi kuu ya Uingereza.

Liverpool ilikuwa nyuma kwa goli moja lililofungwa na Sergio Aguero, wakati Sadio Mane akitolewa nje kwa kadi nyekundu kwa kunyanyua daluga lake juu na kumuumiza Ederson.


City ilitumia vyema nafasi hiyo ya Liverpool kuwa wapungufu na kuongeza goli la pili kupitia kwa Gabriel Jesus, kisha Aguero akimtengenezea Jesus goli la tatu, kisha Leroy Sane akafunga magoli mawili.
                 Sergio Aguero akimpiga chenga kipa wa Liverpool na kufunga goli la kwanza 
Sadio Mane akirusha juu mguu wake kuwania mpira lakini akajikuta akimkanyaga usoni kipa wa Manchester City
Refa akimpatia Sadio Mane kadi nyekudu iliyoigharimu Liverpool na kujikuta wakichakazwa 5-0
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post