Manispaa yarithi deni la Sh16 bilioni kutoka CDA

SHARE:

Dodoma. Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma imerithi deni la Sh16.3 bilioni la iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu Dodoma (CDA)...Dodoma. Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma imerithi deni la Sh16.3 bilioni la iliyokuwa Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu Dodoma (CDA) baada ya kuvunjwa na Rais John Magufuli.
Uamuzi wa kuivunja mamlaka hiyo ulitolewa Mei 15 na CDA ilitakiwa kukabidhi mali na madeni yote kwa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma.
Akizungumza leo Alhamisi katika kikao cha dharura cha baraza la madiwani ambacho miongoni mwa ajenda zilikuwa kupokea taarifa ya mali zilizokabidhiwa na CDA kwa manispaa hiyo, mweka hazina wa manispaa, Alfred Mlowe amesema deni hilo ni la hadi Mei 15.
Amesema CDA ilikuwa ikidaiwa Sh6.3 bilioni na wadai wenye makubaliano maalumu; wanachama 77 wa Chama cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu (THTU) wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Sh90 milioni), fidia za ardhi na mali kwa wananchi (Sh1.4 bilioni), fedha za matazamio ya kazi (Sh125 milioni) na fedha za kuboresha na kodi ya nyumba zilizolipwa (Sh82.6 milioni).
Mengine ni michango ya hifadhi ya jamii Sh37.2 milioni, madeni mengine ya watumishi na watoa huduma (Sh483 milioni), deni la Benki ya CRDB (Sh6.4 milioni) na deni linaloweza kujitokeza kutokana na kesi zilizoko mahakamani (Sh1.2 bilioni).
Mlowe amesema hadi Mei 17 katika akaunti za mamlaka zikiwemo zilizopo benki ya NMB, CRDB na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kulikuwa na jumla ya Sh12.4 bilioni, huku fedha taslimu zikiwa Sh13.5 milioni.
“Mapendekezo ya vikosi kazi vya uhakiki vilivyoundwa na Wizara ya Fedha wametaka halmashauri kutumia fedha iliyobaki kuwalipa wadeni wa iliyokuwa CDA ikiwa ni pamoja na hati za malipo zilizoandaliwa na hundi kuandikwa lakini hazikulipwa kutokana na akaunti za benki kufungwa,” amesema.
Mlowe amesema CDA ilikuwa ikiwadai watu mbalimbali Sh13.1 bilioni hadi ilipokuwa ikivunjwa ikiwa ni pamoja na ununuzi wa viwanja 1,006, wadaiwa wa kodi ya ardhi, wadaiwa wa nyumba, tozo ya minara ya mawasiliano.
Amesema Manispaa ya Dodoma imekabidhiwa mali za kudumu ikiwa ni pamoja na magari, majengo ardhi na vifaa vingine vya upimaji wa ardhi ambavyo vina thamani ya Sh68.3 bilioni.
Diwani wa Majengo, Mayaoyao Msinta amesema ni dhahiri deni hilo linawaweza kuwafanya wakazi wa Dodoma badala ya kufurahia uamuzi wa kuivunja CDA litakuwa mzigo kwao.
“Nashauri madeni mengine hayalipiki, lazima tuone namna ya kuiomba Serikali Kuu iweze kutusaidia,” amesema.
Ametoa mfano wa deni la kodi ya ardhi la Sh590 milioni linalozungumziwa katika taarifa hiyo kuwa ili zipatikane ni lazima warudi kuwadai wananchi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Manispaa yarithi deni la Sh16 bilioni kutoka CDA
Manispaa yarithi deni la Sh16 bilioni kutoka CDA
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/manispaa-yarithi-deni-la-sh16-bilioni.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/manispaa-yarithi-deni-la-sh16-bilioni.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy