MANJI AIOMBA MAHAKAMA MSAMAHA

SHARE:

Mfanyabiashara Yusuf Manji ameomba msamaha mahakamani leo baada ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu Cyprian Mkeha kumuhoji sababu ya...

Mfanyabiashara Yusuf Manji ameomba msamaha mahakamani leo baada ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya Kisutu Cyprian Mkeha kumuhoji sababu ya kuchelewa kufika mahakamani wakati walipaswa kufika saa tatu.
Hata hivyo Yusuf Manji alimueleza Hakimu Cyprian kuwa alipitia hospitali, pia alishawasiliana na wakili wake na kuelezwa kuwa hakimu yupo kwenye kikao.
Hata hivyo kesi inayomkabili Yusuf Manji ya matumizi ya dawa za kulevya aina ya Heroin ilishindwa kuendelea kusikilizwa baada ya Wakili wa Serikali, Timon Vitalis kueleza kuwa hatoweza kuendelea kuwepo katika kesi hiyo kwani ana safari mchana na muda ulikuwa umeenda sana.
Hakimu Mkeha naye alisema kuwa anaenda katika kikao mchana huo hivyo Wakili Mungula aliomba kesi hiyo ipangwe siku tatu mfululizo kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa ushahidi wa upande wa utetezi Septemba 25, 26, na 27, mwaka huu.
Manji alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Februari 16, 2017 ambapo anadaiwa kuwa, kati ya Februari 6 na 9, 2017 katika eneo la Upanga Sea View Ilala alitumia dawa za kulevya aina ya Heroin.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MANJI AIOMBA MAHAKAMA MSAMAHA
MANJI AIOMBA MAHAKAMA MSAMAHA
https://2.bp.blogspot.com/-UBuyQ9IbUE0/Wb_Z5VdxgpI/AAAAAAAAe2g/Yy1cEg56M7MQZa5yRdFluxE0Pp4G8jU0ACLcBGAs/s1600/xMANJI-KISUTU010101010108-750x375.jpg.pagespeed.ic.hlMJ8zrP76.webp
https://2.bp.blogspot.com/-UBuyQ9IbUE0/Wb_Z5VdxgpI/AAAAAAAAe2g/Yy1cEg56M7MQZa5yRdFluxE0Pp4G8jU0ACLcBGAs/s72-c/xMANJI-KISUTU010101010108-750x375.jpg.pagespeed.ic.hlMJ8zrP76.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/manji-aiomba-mahakama-msamaha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/manji-aiomba-mahakama-msamaha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy