Mauzo ya ‘Mademu Wangu’ ya P The MC kuinufaisha familia ya Ngwear

SHARE:

Moja ya wa memba kutoka kundi jipya la muziki wa Hip Hop Bongo, Sisi Sio Kundi (SSK), P The Mc amebainisha kuwa alipata ruhusa zote kutoka k...

Moja ya wa memba kutoka kundi jipya la muziki wa Hip Hop Bongo, Sisi Sio Kundi (SSK), P The Mc amebainisha kuwa alipata ruhusa zote kutoka kwa  prodyuza mkongwe P-Funk Majani kabla ya kurekodi ngoma ya ‘Mademu Wangu’.Akiongea na Bongo5, P The MC amesema yeye ni shabiki mkubwa wa marehemu Ngwear na amefanya ngoma hiyo kama kumuenzi na pia amepokea bless zote kutoka kwa P- Funk Majani kabla na baada ya kuachia wimbo huyo.

“Mimi nilikuwa natafuta connection ya Ngwear, kwa kuwa siku-exit kwa nafasi kubwa sana kipindi chake ndiyo maana sikupata hiyo fursa, ila kwa sababu wazo nilikuwa nalo nikaona nitumia hiyo fursa kama yeye hayupo sasa hivi , so nilichofanya ni kuchukua wimbo kutoa kwenye albamu yake ya ‘A.K.A Mimi ‘ unaitwa ‘Mademu Wangu’ nikaufanyia remix ambapo nimetumia beat hiyo hiyo na Ngwear akibaki kwenye kiitikio hivyo hivyo. The idea ni ileile isipokuwa Ngwear aliwaongelea mabinti kutokana na makabila yao mimi ni meongelea mabinti kutokana na tabia zao,” amesema msanii huyo.

Pia akaongeza “Ruhusa ya kurekodi wimbo huo nilipata kutoka kwa Majani, C.E.O mwenyewe ambaye tulianza kumshirikisha kwenye suala hili kabla ya kurekodi na akasema, rekodini wimbo harafu mnitumie nisikilize kama kutakuwa na chochote cha kuongeza ama kupunguza nitawaambia na kama utakuwa sawa nitawaruhusu, so tukamtumia P-Funk akausikiliza na akasema hauna tofauti yoyote wimbo mzuri na nimeupenda mnaweza mkau-push vyovyote mnavyotaka lakini tu kama utaingiza pesa basi hiyo pesa iyende moja kwa moja familia ya Ngwear.”

Akasisitiza “P-Funk akaongea na Mkito.com ambayo ndiyo platform ya kuuza wimbo huo na Mkito.com wakafungua akaunti kwa ajili ya Ngwear na sio yangu wala ya P na hiyo akaunti inaitwa Mangwear.”

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Mauzo ya ‘Mademu Wangu’ ya P The MC kuinufaisha familia ya Ngwear
Mauzo ya ‘Mademu Wangu’ ya P The MC kuinufaisha familia ya Ngwear
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/21041913_163358707572771_4539653777581408256_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mauzo-ya-mademu-wangu-ya-p-mc.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mauzo-ya-mademu-wangu-ya-p-mc.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy