Mayweather awachana wanaompinga Trump ‘hamtaki kuambiwa ukweli’

SHARE:

Mwanamasumbwi maarufu duniani, Floyd Mayweather Jr ameonekana kukerwa na baadhi ya wamarekani wanaomkosoa Rais wa Marekani Donald Trump kwa ...

Mwanamasumbwi maarufu duniani, Floyd Mayweather Jr ameonekana kukerwa na baadhi ya wamarekani wanaomkosoa Rais wa Marekani Donald Trump kwa kuwambia kuwa wafanye kazi za maendeleo zitakazowaletea maendeleo na sio kulaumu kila siku.Floyd Mayweather Jr akiwa kwenye kipindi cha Hollywood Unlocked.Mshindi huyo wa Dunia wa ngumi za uzito wa juu amesema watu wengi nchini Marekani hawataki kuambiwa ukweli na ndiyo maana wanamchukia Trump huku akidai wanaoandamana wanapoteza muda tu badala ya kukaa nyumbani kupanga miradi ya biashara.

Watu hawataki kuambiwa ukweli, unajua mwanaume lazima aongee kwa kumaanisha kama anavyofanya yeye ni mwanaume wa kweli, wanaume tunasema ‘yule mwanamke ni mzuri na wewe unaitikia ndiyo, kwa sababu unamuona, na lazima nimtafute nimpate’, najua unanielewa ninachomaanisha ?,”ameongea Mayweather kwenye kipindi cha Hollywood Unlocked kwa kuhoji.

Mayweather ameendelea kusema watu wasimchukie Rais Trump kwa vile yupo  madarakani kwani kuongoza Marekani hakuteuliwa na mtu wala hakuiba kura bali ni wamarekani wenyewe walimchagua.

“Kipindi cha Nyuma wakati Trump mtu wa kawaida nilikuwa namuona kwenye WWE (Michezo ya mieleka) na kwenye show mbalimbali sikuwahi kusikia kuwa ni mbaguzi wa rangi lakini kwanini alivyoingia tuu madarakani haya mambo yakaanza kukua?, Naona hadi aibu kuwambia ukweli wamarekani wenzangu, huyu mtu (Trump) hajafanya chochote kile, kama hamkutaka aingie White House msingempa kura zenu, kwani inavyoonekana kama aliiba kura zenu, kumbe alitimiza majukumu yake na akachanguliwa na sisi wenyewe kwa kura zetu, “amesema Mayweather Jr.

Kuhusu sera za uhamiaji za Rais Trump, Mayweather pia ametia neno kwa kusema ni muda muafaka kwa Wamarekani kuwa wazalendo wa nchi yao kwani kumekuwa na wageni wengi wakiingia kila siku na kutengeneza fedha nyingi huku wazawa wakilalamika maisha magumu.

Nakutana na watu wengi sana kutoka nchi mbalimbali hapa Marekani na nikiwauliza kwanini upo hapa? . wanasema ‘wanapapenda hapa, wanapenda na nchi zao pia’, sasa mimi nawauliza kama mnapenda nchi zenu kwanini mpo hapa? hujui kuwa unachukua nafasi ya wenzako?”  amesema Mayweather huku akishangaa

“Kuna baadhi yetu hata kama kazi walizotangaza kuna Wamarekani wanajua kufanya, lakini utashangaa wanaajiriwa watu kutoka nje ambao hawajui kodi tunazolipa na ugumu tunaopitia, sijui nchi yetu ina watu wangapi wanaoishi kinyume na sheria hata nashindwa kukadiria.”amesema Mayweather huku akimkingia kifua Rais Trump juu ya sera yake ya kujenga ukuta kutenganisha Marekani na Canada.

“Ninachomaanisha  hapa sio kumuunga mkono Trump kwenye sera yake ya kujenga ukuta na ile ya kuzuia safari kwa baadhi ya nchi hapana mimi nampenda kila mtu, nachekana watu wote kutoka kila nchi, ninaachomaanisha ni kwamba Floyd siogopi biashara ya mtu mwingine, watu wengi wanajikuta wanaogopa biashara za watu wengine, badala ya kujiangalia hao wenyewe vitu gani vinavyowaangusha wasifikie malengo, Mimi nimepambana mpaka kufikia hapa si kuwa na hofu ya nani anafanya nini? kwa sababu niliamini mimi ni Floyd,“amesema Floyd Mayweather kwenye mahojiano yake na kipindi cha Hollywood Unlocked.

Tazama mahojiano yake yote kwenye kipindi cha Hollywood Unlocked hapa chini.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Mayweather awachana wanaompinga Trump ‘hamtaki kuambiwa ukweli’
Mayweather awachana wanaompinga Trump ‘hamtaki kuambiwa ukweli’
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/Capture-14.jpg
https://i.ytimg.com/vi/6731LIO2LKI/default.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mayweather-awachana-wanaompinga-trump.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mayweather-awachana-wanaompinga-trump.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy