MBINU BORA ZA UFUGAJI WA KWARE.

SHARE:

Siku ya leo tutakwenda kujikita zaidi kwa kuangalia ufugaji wa kwale na faida zake. Kwale ni jamii ya ndege wa porini ambao kwa sasa hufu...

Siku ya leo tutakwenda kujikita zaidi kwa kuangalia ufugaji wa kwale na faida zake. Kwale ni jamii ya ndege wa porini ambao kwa sasa hufugwa sana majumbani kutokana na kugungulika kua ni ndege wenye  faida, hasa mayai yake kua na faida nyingi mwilini.
kwale hutaga mayai kama kuku, kanga au bata, pia kwale hua na umbile dogo 280- 300g.

KANUNI ZA UTUNZAJI WA VIFARANGA VYA KWALE.
vifaranga wa kwale hutakiwa kutunzwa vizuri kama ambavyo vifaranga wa ndege wengine hutakiwa kutunzwa.

·         Hivyo unatakiwa kuandaa mazingira mazuri kabla ya vifaranga wa kwale hawajeletwa bandani.
·         Siku ya kwanza wanapofika unatakiwa kuwapa GLUCOSE ukiiichanganya kwenye maji, pakti moja kwa lita 20  za maji.
·         Baada ya masaa 2 unaweza kuwakea chakula kilicho andaliwa maalum kwaajili ya vifaranga.
·         Siku ya pili hadi tano unatakiwa kuwawekea amin total kwenye maji, na uwape maji yasiyo changanywa kitu sita na kuendelea.
·         Pia watoto hutakiwa kuwapa  joto unaweza kutumia bulb au chemri au jiko la mkaa kulingana na uwezo wako, vifaranga hutakiwa kupatiwa joto kwa masaa 24 ndani ya siku 7.
·         Siku ya 15 -21 uhitaji wa joto utapungua unaweza kuwapa joto wakati wa usiku tu, ila hiki ndio kipindi ambacho vifaranga hula sana hivyo wanatakiwa kupatiwa chakula  cha kutosha pia.
·         kuanzia siku ya 21na kuendelea nikipindi ambacho kwale hawaitaji joto hivyo chakula na maji ya kutosha ndio muhimu kwa kipindi hiki.
KUANZA KUTAGA
Kwale wakipewa huduma nzuri, chakula na maji ya kutosha huanza kutaga wanapofikisha wiki ya sita kuelekea ya saba ,kwa kipindi hicho utaanza kuona kwale wakianza kutaga mayai kila siku , kwa wastani kwale mmoja anauwezo wa kutaga mayai 250- 300 kwa mwaka wakipewa chakula stahiki.

MAGONJWA
Kwa bahati nzuri kwale ni ndege ambaye hua na kinga sana mwilini kwake na sio rahisi sana kwa kwale kupata magonjwa kirahisi, na pia pindi wanapo ugua ni rahisi pia kutibika.

Hivyo ni muhimu kuweka mazingira na banda safi ili kuweza kuzuia magonjwa kama typhoid, mafua na kuharisha. Pia kwakua kwale ni jamii ya ndege kama alivyo kuku hivyo utakiwa kupewa chanjo ili kuweza kuzuia magonjwa.
·         Siku ya 7 wapatie chanjo ya kideri/new castle ambayo inapatika kalibia maduka yote ya dawa za mifugo.
·         Siku ya 14 unatakiwa kuwapa chanjo ya GUMBORO ambayo pia hupatikana katika maduka ya dawa za mifugo.
·         Siku ya 21 unatakiwa kurudia kuwapa chanjo ya kideri/new castle 
·         Siku ya 35 unatakiwa kuwapa chanjo ya ndui/ fowl pox

FAIDA ZA KUFUGA KWALE
Ufugaji wa kwale hua na faida ukilinganisha na ufugaji wa ndege wengine

·         Chanzo cha kipato kwa wafugaji.
·         Hawana gharama sana katika suala kufuga.
·         Hawataji utaalam sana katika kuwafuga.
·         mayai yake ni tiba ya magonjwa mbalimbali.
·         mayai yake hayakosi soko.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MBINU BORA ZA UFUGAJI WA KWARE.
MBINU BORA ZA UFUGAJI WA KWARE.
https://2.bp.blogspot.com/--48h3_aUarQ/WcbHi5Wi0wI/AAAAAAAAfKY/iWJPibNRIQI5emiANjy0LjA3GWzXpoQ5QCLcBGAs/s1600/Quail_0.jpg
https://2.bp.blogspot.com/--48h3_aUarQ/WcbHi5Wi0wI/AAAAAAAAfKY/iWJPibNRIQI5emiANjy0LjA3GWzXpoQ5QCLcBGAs/s72-c/Quail_0.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mbinu-bora-za-ufugaji-wa-kware.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mbinu-bora-za-ufugaji-wa-kware.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy