MBINU ZA KUKUSANYA MICHANGO YA HARUSI KIRAHISI ZAIDI

SHARE:

Kuomba hela kutoka kwa mtu mwingine huwa ni kazi ngumu sana na huwafanya watu wasijiamini. Hebu fikiria umepanda daladala, halafu konda...

Kuomba hela kutoka kwa mtu mwingine huwa ni kazi ngumu sana na huwafanya watu wasijiamini.
Hebu fikiria umepanda daladala, halafu kondakta anaitisha nauli. Ukiangalia mfukoni una shilingi mia mbili tu, pesa nyingine yote umeisahau nyumbani. Ni hali gani huwa inakupata?
Huwa unajipanga vipi kumuomba konda akubali kupokea mia mbili badala ya mia nne ya nauli?
Kama huwa unapata wakati mgumu kwa jambo hilo dogo tu, je inakuwaje pale ambapo unataka kuwaomba watu wakuchangie mamilioni kwa ajili ya kuifanikisha harusi yako ambayo kwao haina faida yoyote?
Kwanza umshawishi mtu akuchangie mpaka akubali, akishakubali akuahidi kiwango cha fedha ambacho ataweza kukuchangia. Mahali panapokuwa pagumu zaidi ni pale ambapo inabidi uwe unamkumbusha ili atoe fedha aliyoiahidi.
Wahenga walisema ‘Ahadi ni deni’, lakini kwa hili inabidi uwe mpole na mvumilivu illi uweze kuupata mchango ulioahidiwa.
Ili usiwe na wakati mgumu katika kuomba mchango kwa ajili ya kufanikisha shughuli ya harusi yako, inabidi uzingatie mambo yafuatayo;
Usiombe mchango kutoka kwa watu usiowajua
Ni kosa kubwa sana kuomba mchango hasa wa harusi kwa watu ambao hufahamiani nao. Kumekuwa na tabia ya watu kuomba marafiki wao wawashawishi marafiki wengine ambao hawawafahamu kuchangia harusi zao.
Kumbuka kwamba watu hao huwajui, na hujawahi kuwa na mchango wowote katika Maisha yao. Hivyo siyo vyema kwa vile tu unahitaji mchango wa hausi ndio uombe hata kwa watu usiowafahamu.
Vilevile utapata wakati mgumu katika ukusanyaji wa michango kwani kwao ni rahisi kukudanganya.
Usipange bajeti ambayo hutoweza kuimudu
Harusi nyingi hufanywa kwa gharama kubwa sana. Watu wengi wanaofunga ndoa hupenda kupanga bajeti kubwa ambayo wengine hata hawawezi kuzifikia. Ili kuepusha kuonekana msumbufu au mzigo kwa wengine, hakikisha kuwa unaepuka baadhi ya mambo ili kupunguza gharama za harusi yako.
Vile vile usipange bajeti ambayo itakuwa ngumu kufikiwa na kamati yako ya harusi
Unapopanga bajeti ya harusi yako, hakikisha kuwa haitokuwa mzigo kwa wale unaowalenga kukuchangia. Hii itakufanya wewe kupata michango kwa wakati na kufanikisha harusi yako. Endapo bajeti yako itakuwa mzigo kwao, basi tegemea kupata michango kwa kuchelewa au kushindwa kuifikia bajeti yako.
Toa taarifa mapema iwezekanavyo
Hakikihsa unatoa taarifa mapema kuwa unataka kufunga ndoa. Usisubiri mpaka muda uishe ndipo utoe taarifa kuwa unahitaji kuchangiwa. Wape watu taarifa mapema ili nao wapate muda mzuri wa kujiandaa kifedha.
Usikuruprke tu kutuma ujumbe katika kundi la WhatsApp kuwa unafunga ndoa mwezi ujao hivyo unahitaji mchango. Kufanya hivi kutakupelekea wewe kuonekana msumbufu na unaweza usipate michango kutoka kwao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MBINU ZA KUKUSANYA MICHANGO YA HARUSI KIRAHISI ZAIDI
MBINU ZA KUKUSANYA MICHANGO YA HARUSI KIRAHISI ZAIDI
https://3.bp.blogspot.com/-X_E4x7rd2AI/WcpE6IMvDuI/AAAAAAAAfUY/mrqudm3ZEOwK154aSrmFypLWiitJXQIEwCLcBGAs/s1600/xThe-Gates-5-1024x684-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.IBtPNPjN4r.webp
https://3.bp.blogspot.com/-X_E4x7rd2AI/WcpE6IMvDuI/AAAAAAAAfUY/mrqudm3ZEOwK154aSrmFypLWiitJXQIEwCLcBGAs/s72-c/xThe-Gates-5-1024x684-1-750x375.jpg.pagespeed.ic.IBtPNPjN4r.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mbinu-za-kukusanya-michango-ya-harusi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mbinu-za-kukusanya-michango-ya-harusi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy