MFANYABIASHARA ASHAMBULIWA KWA RISASI NA KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA

SHARE:

Mfanyabiashara mmoja katika Mji wa Lupa Tingatinga, Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, ajulikanaye kwa jina Nestroy Kyando ameshambuliwa ...

Mfanyabiashara mmoja katika Mji wa Lupa Tingatinga, Wilaya ya Chunya, mkoani Mbeya, ajulikanaye kwa jina Nestroy Kyando ameshambuliwa kwa risasi na kufariki papo hapo na watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi ambao walifanikiwa kumuibia kiasi cha fedha shilingi milioni 4 na kukimbia nazo.
Kwa mujibu wa mashuhuda aliyekuwepo katika eneo la tukio, Ibrahim Khalid, alieleza kuwa tukio hilo lilitokea majira ya saa 3:15 usiku siku ya Jumamosi, Septemba 16 mwaka huu katika duka la bidhaa za jumla la mfanyabiashara huyo.
“Tulikuwa pamoja na marehemu dakika kumi kabla ya tukio na baadae aliamua kwenda nyumbani kwake wakati mimi nikiendelea na shughulli dukani kwangu. Akiwa nyumbani, kundi la watu lilimvamia na kumcharaza kwa mapanga huku wakimdai awape funguo za sanduku lake la kuhifadhia fedha. Aliwapa funguo ili kuyaokoa Maisha yake,” alisema.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Mohammed Mpinga, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa mpaka sasa watu wane wamekamatwa na polisi huku wakiendelea kuhojiwa ili kukamilisha uchunguzi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Wafanyabiashara Kata ya Lupa Tingatinga, Fredrick Kisucha, Amesema kuwa wamesikitishwa na tukio hilo na kuongeza kwamba hilo ndilo tukio la kwanza la ujambazi lililowahi kutokea katika eneo hilo.
“Tukio hili linaonekana kuwa limefanywa na watu wenye uzoefu mkubwa kwani limetokea muda ambao bado watu wengi walikuwa wakiendelea na shughuli zao za kawaida. Kwa hivyo inaonekana wazi kabisa kuwa watu hawa walijipanga kwa muda mrefu,” alisema Kisucha.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MFANYABIASHARA ASHAMBULIWA KWA RISASI NA KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA
MFANYABIASHARA ASHAMBULIWA KWA RISASI NA KUUAWA NA WATU WASIOJULIKANA
https://3.bp.blogspot.com/-qFym-T9wYDI/WcAnCiLcuII/AAAAAAAAe3I/R4gGd7c0np05HmA-yq9Q9ikE5hVkjv6YwCLcBGAs/s1600/xbackground_checks-750x375.jpg.pagespeed.ic.tFQkJczoW6.webp
https://3.bp.blogspot.com/-qFym-T9wYDI/WcAnCiLcuII/AAAAAAAAe3I/R4gGd7c0np05HmA-yq9Q9ikE5hVkjv6YwCLcBGAs/s72-c/xbackground_checks-750x375.jpg.pagespeed.ic.tFQkJczoW6.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mfanyabiashara-ashambuliwa-kwa-risasi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mfanyabiashara-ashambuliwa-kwa-risasi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy