MIMI NA UMAKAMU WA RAIS, KWA MUME WANGU NAPIGA GOTI KUMUONYESHA MAPENZI

SHARE:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake kushirikiana na wanaume kwa pamoja katika kudum...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake kushirikiana na wanaume kwa pamoja katika kudumisha mila, desturi na tamaduni nzuri ili kuweza kuleta maendeleo.
Mama Samia amesisitiza kuwa ni kweli usawa kati ya mwanaume na mwanamke unahitajika lakini hauwezi kuwa katika nyanja zote za kijamii.
Makamu wa Rais aliyasema hayo jana Septemba 5 wakati wa uzinduzi wa Tamasha la 14 la Jinsia lililoandaliwa na TGNP Mtandao ambapo alisisitiza licha ya yeye kuwa kiongozi mkubwa serikalini lakini akifika kwa mumewe huwa anapi magoti.
“Mimi na umakamu wangu wa Rais, mbele ya mume wangu nitapiga goti. Na spigi goti kwamba ni inferior (mnyonge), hapana, napiga goti kwa huba na mapenzi,” alisema Makamu wa Rais huku akishangiliwa na umati uliojitokeza katika tamasha hilo.
Samia aliwataka wanawake kutoziacha mila hilo, ili waweze kutunza watoto, pamoja na kuleta upendo katika familia.
“Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua na kuthamini umuhimu wa uzingatiaji wa masuala ya jinsia katika kuchangia na kuharakisha  maendeleo ya nchi.”
Samia alitoa wito kwa wadau wa maendeleo  kushirikiana katika kuhakikisha Tanzania kama nchi tunafikia lengo namba 5 la ajenda ya Maendeleo Endelevu na Ajenda ya mwaka 2063 ya Afrika ya kuhakikisha Mwanamke ana haki sawa na mwanaume katika Nyanja zote za kijamii na haachwi nyuma kwenye maendeleo.
Alisisitiza ni muhimu kwa Wizara, Idara na Wakala za Serikali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuzingatia vipaumbele vya kijinsia kwenye mipango yake ya bajeti.
Aalisema ili kufikia usawa wa kijinsia lazima mwanamke apewe mbinu za kumuezesha kiuchumi na lazima alindwe  na vitendo vya ukatili wa kijinsia ili aweze kusimama imara kwenye majukumu yake mbali mbali.
Mwisho Makamu wa Rais aliwapongeza TGNP na Kamati ya Kitaifa ya kuweka kumbukumbu za wanawake kwa ajili ya kuwatambua, kuwaenzi na kuweka kumbukumbu za michango ya wanawake katika nyanza mbali mbali za maendeleo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Jinsia linalofanyika kwenye viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Mtandao Dkt. Vicensia Shule (kushoto) wakati wa sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Jinsia lililoandaliwa na TGNP Mtandao. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea tuzo ya Uongozi kwa kuwa Makamu wa Rais wa Kwanza Mwanamke na kutambua mchango wake katika kusimamia na kuhamasisha usawa wa kijinsia na uwezeshaji wanawake kutoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya TGNP Mtandao Dkt. Vicensia Shule (kushoto) wakati wa sherehe za uzinduzi wa Tamasha la Jinsia lililoandaliwa na TGNP Mtandao. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MIMI NA UMAKAMU WA RAIS, KWA MUME WANGU NAPIGA GOTI KUMUONYESHA MAPENZI
MIMI NA UMAKAMU WA RAIS, KWA MUME WANGU NAPIGA GOTI KUMUONYESHA MAPENZI
https://1.bp.blogspot.com/-nTgZ4YCl7XA/Wa-PthS9AYI/AAAAAAAAeX0/5VVFDJmG5PUg3Ek3T1d4N3Kyak7v2tusACLcBGAs/s1600/x39-750x375.jpg.pagespeed.ic.gwLUwU1oOI.webp
https://1.bp.blogspot.com/-nTgZ4YCl7XA/Wa-PthS9AYI/AAAAAAAAeX0/5VVFDJmG5PUg3Ek3T1d4N3Kyak7v2tusACLcBGAs/s72-c/x39-750x375.jpg.pagespeed.ic.gwLUwU1oOI.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mimi-na-umakamu-wa-rais-kwa-mume-wangu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mimi-na-umakamu-wa-rais-kwa-mume-wangu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy