Mr. T Touch atoa ya moyoni, ‘mwisho wa siku tutajua mbivu na mbichi’

SHARE:

Producer wa muziki Bongo, Mr. T Touch ameeleza ya moyoni kwa baadhi ya mambo ambayo anakabiliana nayo kwa sasa. Mr. T Touch ambaye pia ni C....

Producer wa muziki Bongo, Mr. T Touch ameeleza ya moyoni kwa baadhi ya mambo ambayo anakabiliana nayo kwa sasa.Mr. T Touch ambaye pia ni C.E.O  wa Touchez Sound ametumia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram kueleza hisia zake kuhusu mambo kadhaa ila hajaweka wazi ujumbe huo unamlenga nani moja kwa moja.
Huwa sishangai binadamu anapokuwa fake#bandia kwenye maisha yangu na akawaaminisha watu kwamba ana msaada kwangu hiyo haijawai kuniumiza coz toka zamani nimekuwa mtu ambaye nikijua marafiki wanafiki na nikaishinao najua kwamba hawataki kusema mbele za watu kwamba nina mchango kiasi gani kwenye maisha yao lakini nafsi zao zinajua nilipambana kiasi gani mwisho wa siku tutajua mbivu na mbichi hapa hapa duniani coz wamekuwa ni watu wa kuongelea hata vile ambavyo hawajawai kuvifanya kwenye maisha yangu yale wanayoyakusudia na yale niliyoyashuhudia na kuyaona kuhusiana na maisha yangu yanatosha kabisa kujiamini na kusonga mbele japo najua ipo siku isiyokuwa na jina watajua nini namaanisha.

Producer Mr. T Touch kwa mwaka huu ameweza kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Jay Moe, Professor Jay, Young Dee, Dayna Nyange, Young Killer, Roma na Stamina (Rostam) na wengineo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Mr. T Touch atoa ya moyoni, ‘mwisho wa siku tutajua mbivu na mbichi’
Mr. T Touch atoa ya moyoni, ‘mwisho wa siku tutajua mbivu na mbichi’
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/19050611_1930985577115157_6875976670751227904_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mr-t-touch-atoa-ya-moyoni-mwisho-wa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mr-t-touch-atoa-ya-moyoni-mwisho-wa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy