MWANAFUNZI AKUTWA NA BASTOLA IFM

SHARE:

Mwanafunzi mmoja wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na bas...

Mwanafunzi mmoja wa mwaka wa tatu katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na bastola aina ya Beretta ambayo huwa anaikodisha kwa wahalifu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema polisi ilipata fununu kuhusu tukio hilo juzi usiku na kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa akiwa na silaha hiyo ikiwa na risasi sita ndani ya ‘magazine’.
Amesema kuwa awali walipata taarifa kuwa kuna watu wanakodisha silaha kwa majambazi, ili wafanye uhalifu na kulipwa fedha ndipo mtego uliandaliwa eneo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mwenge na kufanikiwa kumnasa mtuhumiwa.
Kwa mujibu wa Mambosasa, mtuhumiwa alitaka kukodisha silaha hiyo kwa Shilingi 400,000 lakini pia alikuwa tayari kuiuza endapo angepata mteja kwa Shilingi Milioni 2.5.
“Inavyoonekana silaha hiyo aliiba kwa baba yake ambaye naye pia sio mmiliki halali, na wote tumewakamata ili tujue ilikotoka,” amesema Kamanda Mambosasa.
Mtuhumiwa ambaye alitoa ushirikiano katika mahojiano, amekiri kushirikiana na rafiki yake Mkazi wa Tabata Segerea na mwanafunzi wa Chuo cha Columbus State Community cha nchini Marekani, kuikodisha silaha hiyo kwa wahalifu ili kujipatia kipato.
Hatahivyo, upelelezi bado unaendelea kujua mmiliki halali wa silaha hiyo na kujua imekodishwa mara ngapi katika matukio ya uhalifu.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWANAFUNZI AKUTWA NA BASTOLA IFM
MWANAFUNZI AKUTWA NA BASTOLA IFM
https://4.bp.blogspot.com/-n01F4x98AXc/WcYYRDqBA6I/AAAAAAAAfHo/pA37JJp1cqg1xfU3LlnNZz__0iM9gP0WgCLcBGAs/s1600/Bastola.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-n01F4x98AXc/WcYYRDqBA6I/AAAAAAAAfHo/pA37JJp1cqg1xfU3LlnNZz__0iM9gP0WgCLcBGAs/s72-c/Bastola.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mwanafunzi-akutwa-na-bastola-ifm.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mwanafunzi-akutwa-na-bastola-ifm.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy