MWENYEKITI AUNGA MKONO ADHABU YA KUCHOMA MOTO WAHALIFU

SHARE:

Watu wawili wanaosadikika kuwa majambazi ambao huwateka na kuwapora pikipiki madereva wa bodaboda wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi ...

Watu wawili wanaosadikika kuwa majambazi ambao huwateka na kuwapora pikipiki madereva wa bodaboda wameuawa kwa kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali mkoani Tabora.
Vijana hao walikamatwa baada ya kuwa wanamkaba dereva wa bodaboda waliyekuwa wamemkodi ambaye alipiga kelele ya kuomba msaada kwa wananchi.
Kamanda wa Polisi Mkoani Tabora, Kamishina Msaidizi Mwandamizi Willibrod Mtafungwa amemtaja dereva aliyekuwa amekodiwa na vijana hao na kuwabeba kwa mtindo wa mshikaki, kwa jina la Haruna Bungala ambaye alikodiwa majira ya saa nne eneo la shule ya msingi Kitete ambapo walimtaka awapeleke kata ya Malolo na walipofik wakaanza kumkaba.
Dereva huyo ambaye alijeruhiwa na kitu chenye ncha kali kwenye shavu lake la kushoto alieleza kuwa kama siyo kupiga kelele kuomba msaada kwa wananchi basi huenda wezi hao wangemuua na kuondoka na pikipiki yake.
Aliongeza kuwa baada ya kupiga kelele kuomba msaada, wananchi walianza kujitokeza na kuwakamata waporaji hao na bila kusita walianza kuwashambulia na mwishowe kuwateketeza kwa moto.
Aidha Mwenyekiti wa chama cha waendesha bodaboda wa eneo hilo, aliwapongeza wananchi kwa kutekeleza adhabu hiyo dhidi ya wahalifu hao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: MWENYEKITI AUNGA MKONO ADHABU YA KUCHOMA MOTO WAHALIFU
MWENYEKITI AUNGA MKONO ADHABU YA KUCHOMA MOTO WAHALIFU
https://4.bp.blogspot.com/-lHlED4KFueQ/WcpFK-ZmrvI/AAAAAAAAfUc/eeZ_sejuLSQ3Fe4ff5CmhjO8SiiilXKZACLcBGAs/s1600/x2798fc2afde1635c8552879af8121471-750x375.png.pagespeed.ic.KzqkpFtspU.webp
https://4.bp.blogspot.com/-lHlED4KFueQ/WcpFK-ZmrvI/AAAAAAAAfUc/eeZ_sejuLSQ3Fe4ff5CmhjO8SiiilXKZACLcBGAs/s72-c/x2798fc2afde1635c8552879af8121471-750x375.png.pagespeed.ic.KzqkpFtspU.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/mwenyekiti-aunga-mkono-adhabu-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/mwenyekiti-aunga-mkono-adhabu-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy