Ngoma hizi mbili za Diamond Platnumz ilifanya mipango ya kazi na SwizzBeatz

SHARE:

Staa wa muziki na mtayarishaji kutoka Marekani Kasseem Dean a.k.a Swizz Beatz ni mkali ambao watanzania walimjua na wengine kuendelea ...
Staa wa muziki na mtayarishaji kutoka Marekani Kasseem Dean a.k.a Swizz Beatz ni mkali ambao watanzania walimjua na wengine kuendelea kumfatilia zaidi baada ya kuonekana kuwa anafatilia muziki wa Bongo Fleva hasa wa msanii Diamond Platnumz mwanzoni mwa mwaka jana.

Swizz BeatzStaa Swizz aliwaacha midomo wazi watanzania na wanaafrika Mashariki kwa ujumla kwa kuonekana kuwa kati ya nyimbo alizonazo za wachache anaowakubali, pia zipo nyimbo za msanii Diamond Platnumz na hilo lilidhihirika wazi kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya Swizz kuonekana katika video akiwa katika gari na mwane wa kike ‘Nicole Dean’ wakisikiliza na kujisukuma sukuma kwa hisia kupitia nyimbo mbili tofauti zikiwemo ‘Nataka Kulewa’ na ‘Nana’ ambayo Diamond Platnumz alimshirikisha Staa wa Nigeria ‘Mr. Flavour’.

Mbali na kumbukumbu ya hili, kikubwa katika tarehe 13 ya Mwezi Septemba ni kumkumbu nyingine ya siku ambayo Staa huyu Swizz anasherehekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwake na leo unasherehekewa mwaka wake wa kutimiza umri wa miaka 39.

Hata hivyo ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa mwaka jana(2016) Diamond Platnumz akiwa katika hatua za kufanya video ya wimbo wake ‘Marry You’ aliomshirikisha Staa wa muziki wa RnB ‘Ne-Yo’ nchini Marekani, alikuwa katika mipango pia ya kufanya kazi na Swizz Beatz hivyo bila shaka muda wenye kufuata taratibu za biashara ya muziki wake ukiruhusu mashabiki wategemee ushirikiano wa wawili hawa.

Vile vile mbali na kuwa ilishafahamika kuwa Diamond na Swizz ni wafanya biashara waliokatika wazo la kufanya kazi ya muziki ya pamoja, kwa wewe mfatiliaji wa Dizzim Online ambaye unazidi kufurahia nyimbo kadhaa ambazo amefanya pia kushirikishwa ikiwemo Eneka, Love you Die ya Patoranking ft. Diamond Platnumz, Zilipendwa ft. WCB Artists, Fire ft. Tiwa Savage, I miss You na nyingine, unakumbushwa kuwa ipo kolabo ya Diamond Platnumz na Staa ambaye kwa sasa ameonekana sana katika kolabo na wasanii wengi wa kimataifa ‘Wizkid’.Happy Birthday Swizz Beatz

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Ngoma hizi mbili za Diamond Platnumz ilifanya mipango ya kazi na SwizzBeatz
Ngoma hizi mbili za Diamond Platnumz ilifanya mipango ya kazi na SwizzBeatz
http://dizzimonline.com/wp-content/uploads/2017/09/collage-1.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/ngoma-hizi-mbili-za-diamond-platnumz.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/ngoma-hizi-mbili-za-diamond-platnumz.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy