NICE YAANZA KWA KISHINDO LIGI YA UROPA BALOTELLI AKIONA NYAVU

Timu ya Nice imeanza vyema Ligi ya Uropa kwa kuibuka na ushindi mnono wa magoli 5-1 dhidi ya timu ya Ubelgiji ya Zulte Waregem.

Katika mchezo huo Alassane Plea alifunga magoli mawili huku mtukutu Mario Balotelli akifunga goli la tano. 

 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post