Nimeokoka nafsi siyo mavazi - Seline

SHARE:

Aliyekuwa msanii kutoka kundi la 'The Industry' kabla ya kuondoka na kuanza kuimba nyimbo za injili, Seline amesema kuwa kamwe mavaz...

Aliyekuwa msanii kutoka kundi la 'The Industry' kabla ya kuondoka na kuanza kuimba nyimbo za injili, Seline amesema kuwa kamwe mavazi yake hayawezi kutafsiri kwamba wokovu wake haujakamilika kwa kuwa anaamini hakufanya kuwaonyesha wanadamu bali MunguSeline amelazimika kuzungumza hayo baada ya watu kuhoji sana kuonekana akiwa tofauti kimuonekano na waimbaji wengine wa nyimbo za injili, ambapo anaonekana kujiachia sana kimavazi.

"Kusema nimeokoka haina maana kuwa natakiwa kumuonyesha kila mtu kwamba mimi ni mlokole. Ninachoamini kwamba kuokoka ni kuokolewa nafsi na pia namtumikia Mungu, naisaidia jamii yangu. Naishi jinsi ambavyo ametuagiza. Naamini kwamba sipo asilimia 100 sahihi lakini najitahidi" Seline.

Wapo wapendwa ambao najua wanajaji mionekano lakini kwangu mimi hapa wala sijali kwa sababu kama naishi vile ambavyo naona nisahihi basi sitojali watu wakiongea.

"Seline ameongeza kwa kuwa yeye ni kijana na ameamua kumtumikia Mungu basi inamlazimu kuishi kama kijana hata akifika kuwaelimisha wamuelewe na siyo awaendee kwa nia ya kuwaogopesha". ameongeza

Kwasasa wimbo wa Seline unaojulikana baada ya kuondoka lebo ya inayosimamiwa na Nahreel pamoja na Aika 'The Industry' ni 'Jitume' ambapo mwenyewe anauita 'Inspiration Song'

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Nimeokoka nafsi siyo mavazi - Seline
Nimeokoka nafsi siyo mavazi - Seline
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/selineee.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/nimeokoka-nafsi-siyo-mavazi-seline.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/nimeokoka-nafsi-siyo-mavazi-seline.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy