NYUMBA NYINGI ZIMEACHWA BILA YA UMEME FLORIDA BAADA YA IRMA

Theluthi mbili ya nyumba zipatazo milioni 6.5 Florida hazina umeme baada ya kimbunga Irma kuathiri jimbo hilo.

Operesheni za msaada zinaendelea ambapo wahandisi wanashughulikia kurejesha umeme, lakini nyumba nyingi zimetelekezwa.

Kimbunga Irma kimeikumba Florida, jumapili na kupungua nguvu na kugeuka mvua za kawaida Jumanne.
                Mkazi wa Florida akikatiza kwenye maji huku akiangalia madhara ya kimbunga Irma

        Mmoja wa waokoaji akiwa amembeba mtoto aliyemuokoa kwenye nyumba zilizozingirwa maji
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post