PETER MSIGWA: POLISI HAWAWEZI KUNIPANGIA CHA KUSEMA

SHARE:

Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameeleza kuwa Polisi hawawezi kumpangia nini cha kusema ...

Mbunge wa Iringa Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameeleza kuwa Polisi hawawezi kumpangia nini cha kusema na wala siyo jukumu lao.
“Wamenikamata nikitimiza majukumu yangu ya kibunge! Sitanyamaza,” ameandika Mchungaji Msigwa katika ukurasa wake wa Twitter.
Msigwa aliyasema hayo baada ya kuachiwa na polisi waliokuwa wamemkamata jana jioni baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Mlandege Manispaa ya Iringa kwa kosa la uchochezi dhidi ya vyombo vya usalama.
Hata hivyo aliachiwa jana usiku kwa dhamana baada ya kudhaminiwa na wadhamini wawili Alex Kimbe pamoja na Mwenyekiti wa Bavicha Iringa, Leonce Marto.
Leo Mbunge huyo anatakiwa kuripoti kwa Kamanda wa Polisi wa Mkoa (RCO) na huenda kesi ya uchochezi ambayo tayari imeshafunguliwa jalada lake ikapelekwa mahakamani .
Mchungaji Msigwa amesema kwamba leo mchana atazungumza na vyombo vya habari ili kuweka wazi madhila yaliyompata wakati akitekeleza wajibu wake kwa wananchi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PETER MSIGWA: POLISI HAWAWEZI KUNIPANGIA CHA KUSEMA
PETER MSIGWA: POLISI HAWAWEZI KUNIPANGIA CHA KUSEMA
https://2.bp.blogspot.com/-Zo8J_U-VkR8/Wci7j3kIjdI/AAAAAAAAfP4/teXfsYIFv1IM0XHH8GAEDTT3vGGaGYX9wCLcBGAs/s1600/msigwa%2B%25281%2529.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-Zo8J_U-VkR8/Wci7j3kIjdI/AAAAAAAAfP4/teXfsYIFv1IM0XHH8GAEDTT3vGGaGYX9wCLcBGAs/s72-c/msigwa%2B%25281%2529.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/peter-msigwa-polisi-hawawezi-kunipangia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/peter-msigwa-polisi-hawawezi-kunipangia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy