POLISI WAKAMATA MALI ZA MAGENDO

SHARE:

Jeshi la Polisi limefanikiwa kukamata madumu 1,606 ya mafuta ya kupikia yenye ujazo wa lita 20 kila moja, ambayo yaliingizwa nchini kwa m...

Jeshi la Polisi limefanikiwa kukamata madumu 1,606 ya mafuta ya kupikia yenye ujazo wa lita 20 kila moja, ambayo yaliingizwa nchini kwa magendo kupitia bandari bubu ya Kwale, wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Benedict Wakulyamba alieleza kuwa mafuta hayo yalikamatwa juzi usiku majira ya saa tano katika bandari bubu ya Kwale na yanasadikika kutokea nchini Malaysia.
Imeelezwa kuwa mafuta hayo yalikuwa yamepakiwa katika magari mawili aina ua Fuso na tayari wameyakabidhi magari hayo pamoja na mzigo wa mafuta kwa Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) kwa hatua zaidi.
Kamanda Benedict aliongeza kuwa watu watano waliokuwamo ndani ya magari hayo ambao ni wakazi wa Tanga Mjini, Muheza na Kisiwani Pemba wanashikiliwa na polisi.
Vilevile alisema kuwa baada ya kutaifisha mali zote zinazokamatwa kwa kuingizwa kimagendo nchini, wameamua kuchukua hatua zaidi kwa wahusika ikiwamo kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi.
“Tunawakamata madereva wa magari yanayokutwa na bidhaa za magendo au manahodha wa vyombo vya baharini, ambao na wakati mwingine hukimbia kwa kuzamia majini lakini wamiliki wa bidhaa wanaendelea na shughuli zao, sasa tutawakamata na kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi,” alisema Kamanda Benedict.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: POLISI WAKAMATA MALI ZA MAGENDO
POLISI WAKAMATA MALI ZA MAGENDO
https://3.bp.blogspot.com/-MHuoanJDFko/WcpGIRvXvLI/AAAAAAAAfUs/GLfnEpbiXyQ20nFtod79WmerA8_5B3nrwCLcBGAs/s1600/xIMG_00911-750x375.jpg.pagespeed.ic.PTSnp3aYfE.webp
https://3.bp.blogspot.com/-MHuoanJDFko/WcpGIRvXvLI/AAAAAAAAfUs/GLfnEpbiXyQ20nFtod79WmerA8_5B3nrwCLcBGAs/s72-c/xIMG_00911-750x375.jpg.pagespeed.ic.PTSnp3aYfE.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/polisi-wakamata-mali-za-magendo.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/polisi-wakamata-mali-za-magendo.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy