PRODYUZA ZEST AFUNGUKIA MAAJABU YA ASLAY

SHARE:

Aslay . MWIMBAJI wa Nyimbo  za Injili ambaye pia ni prodyuza wa nyimbo za msanii,  Aslay Isihaka, Zest Daud , ameshangazwa na maajabu...

Aslay.
MWIMBAJI wa Nyimbo za Injili ambaye pia ni prodyuza wa nyimbo za msanii, Aslay Isihaka, Zest Daud, ameshangazwa na maajabu ya Aslay anapokuwa kwenye biti.
Zest ambaye amefanya nyimbo nyingi za msanii huyo zikiwemo Muhudumu na Pusha, amekutana na Uwazi Showbiz na kufunguka mambo mengi yakiwemo uwezo wa kutunga na kuimba wa Aslay.
SHOWBIZ: Jina lako kamili ni nani, na umeanza u-prodyuza mwaka gani?
SHOWBIZ: Naitwa Zest Daud, u-prodyuza nimeanza mwaka 2012.
SHOWBIZ: Moja Moja ni nini?
ZEST: Ni studio ambayo iko ndani ya Moja Moja Empire, ina jumla ya wasanii watatu ambao ni Trible, Tatii, Y- Tony, kwa upande wa watayarishaji ni wawili, Erick na Ruge Touch.
SHOWBIZ: Kwa nini unasema Aslay ni msanii wa ajabu
ZEST: Hajawahi kuandika wimbo tangu nimeanza kufanya naye kazi.
SHOWBIZ: Unamaanisha haandiki au anafanyaje kazi zake za utunzi?
ZEST: Aslay bhana! Huwa anakuja na aidia yake, nikimtengenezea biti basi anavaa headphones na kuanza kutiririka. Hajawahi kuomba kalamu wala karatasi kwa ajili ya kuandika.
SHOWBIZ: Ilikuaje mkaanza kufanya naye kazi?
ZEST: Nimefahamiana naye kitambo sana hata kabla hajaingia Yamoto Band na nilimtengenezea Wimbo wa Kasema ambao haukufanya vizuri. Hata hivyo tunaheshimiana, ana kipaji, anajua kuimba, mimi pia nina kipaji cha kuprodyuzi.
SHOWBIZ: Ni nyimbo ngapi ambazo umemtengenezea hadi sasa?
ZEST: Ni nyingi sana zipo zilizotoka na ambazo bado hazijakamilika.
SHOWBIZ: Unaweza kututajia zilizotoka?
ZEST: Kidawa, Tete, Hautegeki, Koko, Usiitie Doa, Muhudumu, Pusha na Nyakunyaku ambayo ameiachia hivi karibuni.
SHOWBIZ: Anakulipa au mnafanyaje kazi zenu?
ZEST: Tuna makubaliano yetu sisi wenyewe ambayo si vyema kuyaanika wazi.
SHOWBIZ: Kwa hiyo wewe mwenyewe ndiyo meneja wake?
ZEST: Hapana, Aslay ana meneja wake anaitwa Chambuso ila mimi nahusika zaidi kwenye audio.
SHOWBIZ: Aslay ni mtu wa aina gani anapokuwa kwenye biti?
ZEST: Jamaa mkali sana, hajawahi kunisumbua kwa sababu ni mwanamuziki wa kweli.Yuko poa sana, anaweza kuishi na mtu yeyote, anashirikiana na kila mtu.
SHOWBIZ: Ukiachana na kuprodyuzi, unafanya ishu gani zingine?
ZEST: Mimi pia ni Muimbaji wa Muziki wa Injili, kwa sasa nina albamu yangu ya Nipokee ikiwa na nyimbo kama Best Friend Forever ‘BFF’, Watu wa Mungu, Chuki, Nibaki Nawe, Toa na nyingineo.
SHOWBIZ: Kuna wasanii gani wengine ambao umewahi kufanya nao kazi?
ZEST: Kuna wimbo wa Kala Jeremiah wa Wanandoto, Usikate Tamaa akiwa na Nuruelly, Nchi ya Ahadi kaimba na R.O.M.A, Malkia na Naylee, Y. Tony wa Kivuli, Kibenten na wasanii wengine wengi ambao kazi zao bado hazijatoka.
SHOWBIZ: Baada ya kutengeneza nyimbo za Aslay, mapokeo yamekuwaje?
ZEST: Nakushukuru Mungu ni makubwa kwani nimeongeza mashabiki na wasanii ambao wanataka kufanya kazi na mimi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: PRODYUZA ZEST AFUNGUKIA MAAJABU YA ASLAY
PRODYUZA ZEST AFUNGUKIA MAAJABU YA ASLAY
https://2.bp.blogspot.com/-PAsyhpSUYk8/WcE4KUGVssI/AAAAAAAAe7U/RF6klBYUPkIp9c6Ev_hUKAKHlvCi-c0vQCLcBGAs/s1600/Aslay-Mario.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-PAsyhpSUYk8/WcE4KUGVssI/AAAAAAAAe7U/RF6klBYUPkIp9c6Ev_hUKAKHlvCi-c0vQCLcBGAs/s72-c/Aslay-Mario.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/prodyuza-zest-afungukia-maajabu-ya-aslay.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/prodyuza-zest-afungukia-maajabu-ya-aslay.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy