Rais atoa msaada kwa polisi waliunguliwa nyumba zao Arusha

SHARE:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amelipatia Jeshi la Polisi Tanzania Tsh 260  milioni kwa ajili ya ujenzi wa ...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amelipatia Jeshi la Polisi Tanzania Tsh 260  milioni kwa ajili ya ujenzi wa nyumba mpya za Askari wake baada ya ajali ya moto kutokea jijini Arusha na kutekekeza baadhi ya nyumba za jeshi hilo.

Moto huo ulitokea kwenye makazi ya polisi Arusha Septemba 27 mwaka huu majira ya saa moja na nusu usiku na kusababisha  familia za askari wa polisi 14 na zenye wakazi 44 kupoteza mali na makazi ya kuishi.

Akizungumza na Waandishi ya Habari jana Inspecta Jenerali wa Polisi Tanzania, (IGP) Simon Sirro alisema kuwa Rais Magufuli ametoa fedha hizo na wao wameongezea Tsh 40 milioni kutoka kwenye mfuko wa jeshi hilo kwa ajili ya ujenzi wa makazi mapya ya Polisi hao.

IGP Sirro alisema kuwa ujenzi huo unatarajiwa kukamilika baada ya mwezi mmoja na kwamba baada ya hapo watazipatia Tsh 1 milioni kila familia ya askari hao ili kuweza kujikimu kimaisha.

“Rais ameagiza wakala wa Taifa wa majengo (TBA) kuwapatia askari makazi mpaka hapo ujenzi utakapokamilika ndipo waweze kurejea kwenye makazi yao ya kudumu,” alisema Sirro.

Mbali na msaada wa Rais, IGP Sirro amewaomba raia wema pamoja na taasisi mbalimbali zilizogoswa na ajali hiyo wajitolee kuwasaidia Polisi hao ili waweze kumudu maisha na kurejea tena kazini kuhakikisha ulinzi na usalama wa raia mali zao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Rais atoa msaada kwa polisi waliunguliwa nyumba zao Arusha
Rais atoa msaada kwa polisi waliunguliwa nyumba zao Arusha
https://i.ytimg.com/vi/sl7ye2pBZJw/hqdefault.jpg
https://i.ytimg.com/vi/sl7ye2pBZJw/default.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/rais-atoa-msaada-kwa-polisi.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/rais-atoa-msaada-kwa-polisi.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy