RAIS MAGUFULI AELEZA SABABU ZA KUCHELEWA KUTEUA JAJI MKUU WA TANZANIA

SHARE:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Septemba, 2017 amemuapisha Prof. Ibrahim Hamis Juma k...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Septemba, 2017 amemuapisha Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.
Prof. Ibrahim Hamis Juma anakuwa Jaji Mkuu wa nane baada ya uhuru na hafla ya kuapishwa kwake imefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Yustino Ndugai.
Akizungumza baada ya kumuapisha, Mhe. Rais Magufuli amempongeza Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma na Majaji wengine wa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufani kwa kazi kubwa wanayofanya, na amewahakikishia kuwa Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa mhimili huo wa dola ikiwa ni pamoja kukabiliana na changamoto mbalimbali kulingana na uwezo wa kibajeti.
Mhe. Rais Magufuli ametoa wito kwa Jaji Mkuu, Majaji na Mahakimu wote wa mahakama nchini kuongeza kasi ya kufanyia kazi changamoto mbalimbali za mahakama ikiwemo ucheleweshaji wa kesi, na zaidi amewataka kuongeza msukumo katika kushughulikia tatizo la rushwa.
“Na ndio maana nimechukua muda mrefu kuteua Jaji Mkuu, kwanza nilitaka niteue Jaji Mkuu atakayekaa muda mrefu, sio baada ya miaka miwili nilazimike kuteua tena Jaji Mkuu, na pili nilitaka nijiridhishe huyu nitakayemteua ataweza kupambana na rushwa? Maana rushwa imetapakaa kila mahali, Serikalini kuna rushwa, Mahakamani kuna rushwa” amesema Mhe. Rais Magufuli.
Mhe. Rais Magufuli amesema hakumteua Prof. Ibrahim Hamis Juma kwa shinikizo la mtu yeyote na hivyo ametaka yeye pamoja na Majaji na Mahakimu wa mahakama nchini wafanye kazi kwa kutanguliza maslahi ya wananchi na Maslahi ya Taifa.
Aidha, Mhe. Dkt. Magufuli amemshukuru Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Mohamed Chande Othman kwa utumishi wake na ametoa wito kwa Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma kutosita kuwatumia Majaji Wakuu wastaafu ili kuendelea kupata uzoefu wao.
Kwa upande wake Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa uteuzi huo na ameahidi kufanya kazi kwa mujibu wa Katiba huku akiwatoa hofu wananchi kuwa hakuna mgongano wowote katika mihimili ya dola hapa nchini, kwani kila mhimili una majukumu yake ya kuwasaidia wananchi.
Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
11 Septemba, 2017

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: RAIS MAGUFULI AELEZA SABABU ZA KUCHELEWA KUTEUA JAJI MKUU WA TANZANIA
RAIS MAGUFULI AELEZA SABABU ZA KUCHELEWA KUTEUA JAJI MKUU WA TANZANIA
https://4.bp.blogspot.com/-Bi9YtqxzFi4/Wba_f2SqXWI/AAAAAAAAeko/Fc9LpWy7J4kTbBXB0zDczvDs51tbDc5XwCLcBGAs/s1600/xmagufulii-660x375.png.pagespeed.ic.Xn7gDXBNc6.webp
https://4.bp.blogspot.com/-Bi9YtqxzFi4/Wba_f2SqXWI/AAAAAAAAeko/Fc9LpWy7J4kTbBXB0zDczvDs51tbDc5XwCLcBGAs/s72-c/xmagufulii-660x375.png.pagespeed.ic.Xn7gDXBNc6.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/rais-magufuli-aeleza-sababu-za.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/rais-magufuli-aeleza-sababu-za.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy