REAL MADRID YAANZA KUTETEA UBINGWA WAKE KWA USHINDI

Cristiano Ronaldo amefunga mara mbili wakati wakati Real Madrid ikianza kutetea ubingwa wake wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiitundika Apoel Nicosia magoli 3-0.

Mshambuliaji Ronaldo alifungua lango la goli kwa kufunga kwa mpira karibu na kuongeza la pili kwa mkwaju wa penati.

Beki wa Real Madrid Sergio Ramos naye akafunga goli la tatu kwa staili ya sarakasi ya kinyume nyume na kunogesha ushindi huo.
                                   Cristiano Ronaldo akiifungia Real Madrid goli lake la kwanza

                            Beki wa Real Madrid Sergio Ramos akifunga kwa staili ya tik taka
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post