REAL MADRID YAENDELEZA MWENDO WA KUSUASUA KATIKA LA LIGA

Real Madrid imeendeleza mwendo wake wa kusuasua katika kutetea ubingwa wake wa La Liga baada ya kutokea nyuma na kuambulia sare ya goli 1-1 dhidi ya Levante.

Wageni Levante walipata goli la kushtukiza kupitia kwa Ivi, aliyemzungusha Dani Carvajal kisha kuutumbukiza mpira kimiani.

Hata hivyo Lucas Vazquez aliisawazishia Real Madrid kwa shuti la karibu baada ya mpira wa kichwa uliopigwa na Sergio Ramos kuokolewa na Raul Fernandez.
                    Lucas Vazquez akishangilia goli la kusawazisha aliloifungia Real Madrid 
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

SHARE THIS

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post