Roma, Stamina na Khalighraph Jones kuamsha ‘dude’

SHARE:

Wakali wa muziki wa hip hop Bongo, Roma na Stamina ‘Rostam’ wameingia studio kufanya kazi na rapper Khalighraph Jones kutoka nchini Kenya. R...

Wakali wa muziki wa hip hop Bongo, Roma na Stamina ‘Rostam’ wameingia studio kufanya kazi na rapper Khalighraph Jones kutoka nchini Kenya.Rostam ambao walienda nchini humo kwa ajili ya ziara yao ya kimuziki wameweka picha pamoja na video katika mitandao wakielezea kuna ngoma inakuja kati yao na Khalighraph Jones.

Hiyo juzi katika mahojiano na kituo cha Radio Maisha Stamina alieleza rapper wa Kenya ambao anawakubali na kufuatilia kazi zao na miongoni mwao alikuwa ni Khalighraph Jones na kwa pamoja waliaidi kutoondoka nchini humo bila kufanya kolabo na msanii yeyote.

“Nawakubali wote, napenda sana kazi zao, napenda sana kazi za Octopizzo, napenda kazi za King Kaka, napenda kazi za Khalighraph lakini changuo ni kwa King Kaka,” alisema Stamina.

Kwa upande wake Roma alieleza mipango ya albamu ya Rostam kukamilika, “hadi sasa tuna nyimbo nane, tuna wimbo na Beka Flavour, Ben Pol na wasanii wengi, so before 2017 hajaisha tutatoa hii albamu,” alieleza.

Khalighraph Jones ameshafanya kazi na wasanii kadhaa kutoka Bongo akiwemo Rayvanny, Christian Bella na Rosa Ree.


COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Roma, Stamina na Khalighraph Jones kuamsha ‘dude’
Roma, Stamina na Khalighraph Jones kuamsha ‘dude’
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/21373045_855968334570128_3639017333386641408_n.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/roma-stamina-na-khalighraph-jones.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/roma-stamina-na-khalighraph-jones.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy