Saida Karoli: Orugambo imenirudisha vizuri, nina nyimbo na Rayvan wa WCB

SHARE:

Msanii na mwimbaji wa nyimbo za asili nchini Saida karoli akiri kurudishwa na Orugambo nyimbo ambayo imemfanya asimame mpya kwa mara nyingin...

Msanii na mwimbaji wa nyimbo za asili nchini Saida karoli akiri kurudishwa na Orugambo nyimbo ambayo imemfanya asimame mpya kwa mara nyingine tena  kutokana na kazi hiyo kupata mapokeo makubwa  hasa kwa mashabiki wake.

Akizungumza na zotekaliblog.Com, Saida amesema nyimbo ya ‘Orugambo’ imempa nguvu kubwa katika ujio wake huu na anawaahidi mashabiki wake na wapenzi wa muziki wa asili wategemee makubwa zaidi ambayo atayafanya Saida Karoli katika muziki wake.Hata hivyo,ameongeza kuwa atajikita zaidi katika kufanaya ‘Show’ nyingi ndani na nje ya nchi na sio tena kujikita katika Album kama ilivyokua katika soko la muziki hapo zamani kwa kuwa uuzaji wa Album unachangamoto nyingi hususani kwa maharama wa kazi za wasanii ambao wamekuwa wakinufaika zaidi kuliko wasanii.

‘’Ninakazi nyingi sana ambazo nimefanya na wasanii wa ‘Bongo Fleva’ na pia wakae mkao wa kula kwani nina nyimbo nzuri sana amabayo nimefanaya na ‘Rayvan’ msanii kutoka ‘WCB’ amesema Saida karoli.

Saida kwa sasa anafanya vizuri na  yake mpaya inayokenda kwa jina la ‘Kichaka’ nyimbo amabayo amewashirikisha wasanii wa Bongo Fleva  G Nako na Belle9.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Saida Karoli: Orugambo imenirudisha vizuri, nina nyimbo na Rayvan wa WCB
Saida Karoli: Orugambo imenirudisha vizuri, nina nyimbo na Rayvan wa WCB
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/SAIDA-KAROLI-.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/saida-karoli-orugambo-imenirudisha.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/saida-karoli-orugambo-imenirudisha.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy