SERIKALI YATUNGA KANUNI KUDHIBITI WATUMIAJI WA MITANDAO

SHARE:

Tanzania imetunga Muswada wa Kanuni za Maudhui ya Mtandao zinazolenga kud hibiti waandishi wa habari za mitandaoni,  watayarishaji wa mau...

Tanzania imetunga Muswada wa Kanuni za Maudhui ya Mtandao zinazolenga kudhibiti waandishi wa habari za mitandaoni, watayarishaji wa maudhui, wamiliki wa tovuti na blogu pamoja na watumiaji wa mitandao ya kijamii.
Kanuni ya Mawasiliano (Maudhui ya mitandaoni) na Posta ya mwaka 2017 iliyopitishwa hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania itaanza kufanyiwa kazi na Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) pale itakapopitishwa na Waziri wa Habari, Utamdauni, Sanaa na Michezo.
Muswada huo unapendekeza faini ya shilingi milioni 5 au kifungo kisichopungua miezi 12 jela au vyote viwili kwa wote ambao watakiuka sheria na kanuni hizo.
Kwa mujibu wa kanuni hizo, watumiaji wa mitandao ya kijamii na wote wanaotengeneza habari watawajibishwa kutokana na taarifa zote ambazo zitaonekana kuwa ni za uovu, chukizo, hotuba za kueneza chuki, zinazoweza kuchochea vurugu au kuwashawishi wengine kufanya vurugu, zinazoweza kusababisha uchungu, habari za vitisho, zinazohimiza au kuhamasisha uhalifu, au kusababisha hofu na mkanganyiko kwa umma.
Vilevile kwa wote watakaochapisha habari ambazo zinatishia usalama wa nchi, propaganda ama habari za kichochezi nao pia watawajibishwa.
Watumiaji wa mitandao ya kijamii watawajibishwa kutokana na habari watakazokuwa wanazisambaza huku watoa huduma za mitandaoni wakitakiwa kuchapisha maelekezo kwa watumiaji wao, kuhifadhi kumbukumbu za maendeleo ya biashara zao kwa kufunga kamera za ulinzi ndani na nje ya maeneo yao ya kazi.
Kwa redio na runinga za mitandaoni, pamoja na majukwaa ya kidijitali ikiwa ni pamoja na wanaoendesha tovuti na blogu watahitajika kuomba kusajiliwa na Mamlaka Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) pale ambapo kanuni hizi zitapitishwa na kuanza kutumika rasmi.
Vile vile wanatakiwa kuzuia watumiaji wote wasiojulikana (anonymous users) katika majukwaaa yao na kushirikiana kikamilifu na vyombo vya kisheria kama inavyohitajika.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA), James Kilaba amesema kuwa, kanuni hizo zitashughulika na kuangalia maudhui yasiyo sahihi ya mitandao ya kijamii pamoja na maudhui yanayohatarisha usalama wa taifa.
Amesema kuwa mamlaka hiyo itaandaa mikutano na vikao vya wadau ili kuujadili muswada huo wiki zijazo kabla ya kupitishwa na Waziri.
Asasi za Kiraia pamoja na wanaharakati wa mitandao wamezilalamikia kanuni hizo ikiwemo Sheria ya Huduma za Vyombo vya Habari ya Mwaka 2016 inayoipa nguvu mamlaka kuvifungia kabisa vyombo vya habari vinayokiuka kanuni hizo.
Serikali inashutumiwa kwa kudhoofisha demokrasia na kuukandamiza upinzani pamoja na kuwanyima watu uhuru wa kujieleza.
Watu wengi wameshafikishwa mahakamani na kuchukuliwa hatua kutokana na maudhui waliyochapisha ama kusambaza katika mitandao ya kijamii.
Unaweza kuzisoma kanuni hizo hapa chini;

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SERIKALI YATUNGA KANUNI KUDHIBITI WATUMIAJI WA MITANDAO
SERIKALI YATUNGA KANUNI KUDHIBITI WATUMIAJI WA MITANDAO
https://3.bp.blogspot.com/-XFo8O4vcS8I/Wc3Jq9qf8EI/AAAAAAAAfZ0/LaG5PXIkixAPb94AmqGzMEBEp6ocIlJqQCLcBGAs/s1600/xcyber-crime-law-600x375.jpg.pagespeed.ic.QVwG1If9dM.webp
https://3.bp.blogspot.com/-XFo8O4vcS8I/Wc3Jq9qf8EI/AAAAAAAAfZ0/LaG5PXIkixAPb94AmqGzMEBEp6ocIlJqQCLcBGAs/s72-c/xcyber-crime-law-600x375.jpg.pagespeed.ic.QVwG1If9dM.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/serikali-yatunga-kanuni-kudhibiti.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/serikali-yatunga-kanuni-kudhibiti.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy