SHULE BINAFSI ZAINYIMA SERIKALI USINGIZI, SERIKALI YAOMBA KUZISAIDIA SHULE ZA UMMA

SHARE:

Mafanikio ya shule binafsi kielimu yameendelea kuinyima usingizi Serikali ambayo imewaomba wamiliki kuzisaidia shule za umma ambazo zipo...

Mafanikio ya shule binafsi kielimu yameendelea kuinyima usingizi Serikali ambayo imewaomba wamiliki kuzisaidia shule za umma ambazo zipo karibu na zao kwa kuziboreshea mazingira ya kujifunza na kufundishia ili elimu inayotolewa ifanane.
Kauli hiyo ilitolewa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk Ave Maria Semakafu wakati wa jubilee ya miaka 50 ya Taasisi ya Montessori kuwapo hapa nchini iliyofanyika kwenye Shule ya Montessori Kiloleli wilayani Ilemela jijini Mwanza juzi.
Dk Semakafu alisema kama kweli wamiliki wa shule binafsi wana lengo la kutoa huduma bora za elimu, hawana budi kushiriki jitihada za Serikali kuboresha na kuwa walezi wa baadhi wa shule za umma hususani zinazozunguka shule zao. “Kila mmiliki wa shule binafsi, chagueni shule hata moja ya Serikali ilee, iboreshee mazingira na nyenzo za kufundisha na kufundishia angalau ifanane na ya kwako inayopakana nayo, tuone kuwa kweli mnachokitoa ni huduma ya kuboresha elimu yetu hapa nchini,” alisema Dk Semakafu.
Aliupongoza uongozi wa Montessori kwa kuona umuhimu huo ambao wameanza kuilea shule ya Serikali ya Isenga wilayani Ilemela kwa kuanzisha darasa la awali lenye wanafunzi 100 ambao wanafundishwa kwa kutumia vifaa na mbinu sawa na wanafunzi wa Montessori ambapo pia walimu wake wanalipwa na taasisi hiyo.
Katika jubilee hiyo iliyokwenda sambamba na sherehe za wahitimu 67 wa darasa la saba na 62 wa kidato cha nne wa shule hiyo, Dk Semakafu aliwataka wanafunzi hao kujitambua na kuendelea kuwa wavumilivu ili kufikia malengo yao. Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana, Mery Tesha aliyemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela aliwataka wazazi kuwalea watoto wao katika misingi ya maadili.
Akisoma risala kwa niaba ya taasisi ya Montessori, Anunsiata Mark alisema ni mkakati wa Montessori kuwasidia watoto kukua kama watu wanaoweza kuwajibika na kujitegemea na ilingia nchini mwaka 1967.
Aliiomba Serikali kushirikiana na taasisi hiyo kuongeza wigo wa upatikanaji wa elimu ya awali katika shule za msingi za Serikali za Nyamanoro, Kilimahewa, Isenga A, B, C na D ambazo zimekuwa zikiiomba taassi hiyo kupata walimu wa kufundisha.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: SHULE BINAFSI ZAINYIMA SERIKALI USINGIZI, SERIKALI YAOMBA KUZISAIDIA SHULE ZA UMMA
SHULE BINAFSI ZAINYIMA SERIKALI USINGIZI, SERIKALI YAOMBA KUZISAIDIA SHULE ZA UMMA
https://2.bp.blogspot.com/-wvXXQ_WZmTM/Wcdmq8hvBvI/AAAAAAAAfL8/acZoB26XpXoPJ4kVsbWIday8ffYGWUWwwCLcBGAs/s1600/pic%252Belimu.jpg
https://2.bp.blogspot.com/-wvXXQ_WZmTM/Wcdmq8hvBvI/AAAAAAAAfL8/acZoB26XpXoPJ4kVsbWIday8ffYGWUWwwCLcBGAs/s72-c/pic%252Belimu.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/shule-binafsi-zainyima-serikali.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/shule-binafsi-zainyima-serikali.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy