TAARIFA KUHUSU ALIPO DEREVA WA TUNDU LISSU

SHARE:

Wakati Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto akimtaka dereva wa Mbunge wa Singida Mashariki kufika katika Ofisi za Mkurugenzi w...

Wakati Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto akimtaka dereva wa Mbunge wa Singida Mashariki kufika katika Ofisi za Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) katika Mkoa wa Dar es Salaam au Dodoma, CHADEMA wameeleza kuwa dereva huyo yupo jijini Nairobi.
Akizungumza juzi na waandishi wa habari mjini Dodoma, Muroto alisema kuwa dereva huyo anahitajika kufika katika ofisi hizo kwa ajili ya mahojiano kutokana na yeye kuwapo katika tukio la kupigwa risasi kwa Tundu Lissu.
Muroto alisema dereva huyo ana taarifa muhimu za sababu alishuhudia tukio zima hivyo ni lazima afike kwa ajili ya mahojiano kuhusiana na tukio hilo.
Wakati Jeshi la Polisi likisema hayo, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema kuwa dereva huyo, Simon Mohamed Bakari yupo jijini Nairobi ambapo naye anapatiwa matibabu.
Katika taarifa iliyochapishwa katika ukurasa wa Facebook wa chama hicho, Mbowe alisema kutokana na dereva huyo kushuhudia tukio la kushambuliwa kwa risasi kwa Lissu, waliona sio vyema kumuacha nchini kutokana na usalama wake, lakini pia alihitaji matibabu ya kisaikolojia ambayo ndiyo anayopatiwa kwa sasa Nairobi.
“Anasumbuliwa na msongo mkubwa wa mawazo. Naye hatukuona busara kuendelea kumwacha nchini hadi hapo hali yake ya kiafya na kiusalama itakapohakikishwa.”
Katika taarifa hiyo, ilielezwa kuwa, nidhahiri kwa aina ya shambulio lilivyokuwa, wauaji walikusudia kuwaua wote, Lissu na hata dereva wake.
Wakati huo huo, viongozi wa CHADEMA leo wamezungumza na waandishi wa habari ambapo wamesema kuwa hawana imani na Jeshi la Polisi na kwamba wanataka wawepo wachunguzi huru katika kuchunguza jaribio la kutaka kumuua Mbunge Tundu Lissu.
Naibu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Prof. Safari amesema kwamba, endapo serikali itashindwa kuleta wachunguzi huru, watakuwa wameweka wazi kwwamba wanaogopa kwa sababu wachunguzi wa kimataifa wakija watawaumbua.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TAARIFA KUHUSU ALIPO DEREVA WA TUNDU LISSU
TAARIFA KUHUSU ALIPO DEREVA WA TUNDU LISSU
https://1.bp.blogspot.com/-eQygcUrTtck/WbfYs6vDxeI/AAAAAAAAeoA/DndvjFNYUU4U3ky_J9ukpbnIl9-1oWR6wCLcBGAs/s1600/xWhatsApp-Image-2017-09-07-at-14.48.09-750x375.jpeg.pagespeed.ic.WVXQ_5fEGD.webp
https://1.bp.blogspot.com/-eQygcUrTtck/WbfYs6vDxeI/AAAAAAAAeoA/DndvjFNYUU4U3ky_J9ukpbnIl9-1oWR6wCLcBGAs/s72-c/xWhatsApp-Image-2017-09-07-at-14.48.09-750x375.jpeg.pagespeed.ic.WVXQ_5fEGD.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/taarifa-kuhusu-alipo-dereva-wa-tundu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/taarifa-kuhusu-alipo-dereva-wa-tundu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy