TANZANIA KUENDELEA KUPAMBANA NA RUSHWA MAHAKAMANI

SHARE:

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa serikali inaendelea kuhakikisha Mahakama hazijihus...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan, amesema
kuwa serikali inaendelea kuhakikisha Mahakama hazijihusishi na vitendo vya rushwa ili kutoa
haki kwa mujibu wa Sheria.
Mh. Samia ameyasema hayo Jijini Dar es Salaam alipokuwa akifungua mkutano wa Chama cha
majaji na mahakimu wa nchi za Jumuiya ya Madola uliofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya
Tanzania.
“Ninaamini, nia ya kujenga mahakama bora na yenye kuaminika kwa Tanzania haiwezi
kutenganishwa na juhudi za serikali katika kuondoa umaskini na rushwa,” amesisitiza Mh.Samia.
Aidha Makamu wa rais amesema kuwa kuna uhitaji mkubwa kwa nchi kuwa na mahakama huru,
makini na yenye kuwajibika ipasavyo kwani mahakama huru ni msingi mzuri wa demokrasia.
Alisema kuwa pamoja na changamoto mbalimbali za mahakama uhuru wa mahakama ambao ni
umakini,uwajibikaji na utoaji haki kwa kufuata utawala wa sheria kwa wananchi wake uko
palepale.
Kwa upande wa Tanzania Mhe. Samia amesema kuwa katika awamu ya tatu ya mapambano
dhidi ya rushwa ambapo kwa awamu mbili zilizopita serikali imefanikiwa kwa kiasi kikubwa
kupunguza malalamiko yaliyotokana na ukiukwaji wa haki.
Katika awamu ya tatu ya mkakati wa kupambana na rushwa utakaochukua miaka mitano kuanzia
2017 hadi 2022, Tanzania itachukua uzoefu kutoka kwenye mkuatno huu wa kimataifa kutoka
kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya madola.
Kwa upande wake Jaji mkuu wa Tanzania Professa Ibrahim Juma alisema mahakama hiyo iko
huru na inatekeleza majukumu yake pasipo kuingiliwa na mtu yeyote na akaahidi kuendelea
kubadilishana uzoefu na mahakama za nchi wanachama ili kuboresha utendaji kazi.
Aidha Profesa Juma amesema Mahakama ya Tanzania kupitia majaji imekubaliana kuwa kila Jaji atatakiwa kuhukumu zaidi ya kesi 220 ambazo ni asilimia 38 ya kesi zilizoahirishwa mwaka
2012 hadi asilimia 5 Desemba 2016 na hii itafanyika kila mwaka ili kujipima wao wenyewe
kama moja ya malengo waliyojiwekea.
Akizungumzia mipango ya mahakama hiyo Profesa Juma amesema kuwa hadi kufikia mwaka
2020 mahakama hiyo itakuwa imekamilisha ujenzi wa mahakama Kuu 13,mahakama za hakimu
mkazi 14,mahakama za Wilaya 48,pamoja na mahakama za Mwanzo 100.
Mkutano wa mwaka huu wa chama cha majaji na mahakimu wa nchi za jumuiya ya madola
umefanyika kwa mara ya kwanza hapa nchini tangu Tanzania ijiunge na chama hicho mwaka
1970.
Na Paschal Dotto -Maelezo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TANZANIA KUENDELEA KUPAMBANA NA RUSHWA MAHAKAMANI
TANZANIA KUENDELEA KUPAMBANA NA RUSHWA MAHAKAMANI
https://3.bp.blogspot.com/-PboIfzeWiZ4/WckaBhhiwzI/AAAAAAAAfQ0/BXrwJ8c8BmoTics-xZBTlPQU6tqB6fTwgCLcBGAs/s1600/CM1-750x375.jpg
https://3.bp.blogspot.com/-PboIfzeWiZ4/WckaBhhiwzI/AAAAAAAAfQ0/BXrwJ8c8BmoTics-xZBTlPQU6tqB6fTwgCLcBGAs/s72-c/CM1-750x375.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/tanzania-kuendelea-kupambana-na-rushwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/tanzania-kuendelea-kupambana-na-rushwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy