Tetesi za Diamond kula bata na Dillish wa BBA Zanzibar zamtibua Zari

SHARE:

Habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kwa upande wa burudani ni tetesi za Diamond kutoka kimapenzi na Mshindi wa Big Brothe...

Habari inayosambaa kwa kasi katika mitandao ya kijamii kwa upande wa burudani ni tetesi za Diamond kutoka kimapenzi na Mshindi wa Big Brother Africa, Dillish Mathews baada ya wawili hao kudaiwa kuonekana huko visiwani Zanzibar wakila bata pamoja.


Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mashuhuda wa Zanzibar wamedai walimuona Diamond Platnumz katika hoteli ya kitalii ya Lagema visiwani humo ambayo pia Dillish alifikia

Mapema wiki hii, Dillish alipost picha mtandaoni kuthibisha kwamba yupo Afrika Mashariki.
Hello Tanzania  my first time in east Africa.

aliandika Dillish

Wadau wa mambo wanadai huwenda wawili hao wakawa na project ya pamoja.

Baada ya taarifa hizo kuzagaa mama watoto wa muimbaji huyo, Zari ameonekana kuchukizwa na kitendo hicho na kuamua kuandika ujumbe uliodaiwa kuelekezwa na Mnamibia huyo.


“Oh you dming me to tell me how he cheated? So many dicks just like so many pussy on the market. Like why do people think ts all about fighting for dick? Honey I will fight for money not dick,” aliandika Zari kwenye Snapchat akimaanisha kuwa kuna wanaume wengi tu sokoni kama walivyo wanawake wengi. Pia anadai kuwa hana muda wa kugombania mwanaume kwakuwa ni pesa tu ndio ipo akilini mwake.


Sakata hili limetokea ikiwa ni wiki chache toka ishu yake ya mtoto na Mobeto kuwekwa kiporo, Mashabiki wanaisubiria 40 ya mtoto wa Mobeto aitwaye, Abdul Nassib ili aweke wazi picha za mtoto wake huyo ambazo zinasubiriwa kwa hamu.

hapa chini ni baadhi ya post za Zari baada ya kuupata ubuyu huo


A post shared by Zotekaliblog.Com (@zotekalionline) on
A post shared by Zotekaliblog.Com (@zotekalionline) onCOMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Tetesi za Diamond kula bata na Dillish wa BBA Zanzibar zamtibua Zari
Tetesi za Diamond kula bata na Dillish wa BBA Zanzibar zamtibua Zari
http://bongo5.com/wp-content/uploads/2017/09/21741196_839631416209553_1728741551894622640_o.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/tetesi-za-diamond-kula-bata-na-dillish.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/tetesi-za-diamond-kula-bata-na-dillish.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy