TP MAZEMBE YATINGA NUSU FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KWA MAUAJI YA KUTISHA DHIDI YA WAARABU

SHARE:

Mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho barani Afrika timu ya TP Mazembe  imetinga hatua ya nusu Fainali kwa kushindo ya Michuano ya Shi...

Mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho barani Afrika timu ya TP Mazembe  imetinga hatua ya nusu Fainali kwa kushindo ya Michuano ya Shirikisho baada ya kuwatandika Waarabu wa Sudan,Al-Hilal Obeid kwa mabao 5-0 na kuwatupa nje kwa jumla ya magoli 7-1.
TP Mazembe wakiwa kwenye dimba lao la Stade Fredric Kibassa Maliba lilipo Mjini Lubumbashi waliingia uwanjani wakiwa na ushindi magoli 2-1 ambao waliupata Sudan wiki iliyopita.
Alikuwa beki kisiki wa Mazembe Jean Kassusla aliwanyanyua mashabiki waliokuwa wamejaa kwa kuishangilia timu yao dakika ya 39 akifunga bao kwa mkwaju Mkali wa Mita 18 na kumshinda Mlinda mlango wa Al-Hilal hadi mapumziko Wenyeji walikuwa mbele kwa bao 1-0.
_97994836_457319028
Jean Kassusla akipiga Mpira wa adhabu ulioenda moja kwa moja hadi golini.
Kipindi cha pili kilikuwa kigumu kwa Wasudan hao kwani waliweza kutandikwa bao nne huku wakizidiwa kila idara na Mazembe wakicheza kwa kushambulia lango kama nyuki dakika ya 49 Mshambuliaji raia Wa Mali,Adama Traore alifunga bao la pili na dakika tano Ben Malango alipigilia Msumari wa tatu.
Akitokea benchi Mshambuliaji wa Congo,Elia Meshak aliifungia Mazembe bao la nne kwa kuwachambua mabeki wa Al-Hilal kabla ya kuachia shuti kali huku wakiwa wanajiuliza beki kisiki Issam Mpeko aliupigilia chuma cha tano na kuweza kuwanyamazisha Waarabu hao na kutupwa nje ya hatua ya nane bora.
Kwa Matokeo hayo TP Mazembe wametinga hatua ya Nusu Fainali  la Shirikisho barani Afrika huku wakisaka nafasi ya kuchukuwa kombe hilo kwa mara ya pili Mfululizo ikumbukwe hao ndo mabingwa watetezi na watakutana na timu ya FUS Rabat ya Morocco ambao nao walitinga Nusu baada ya kuwachapa Watunisia timu ya CS Sfaxien kwa jumla ya mikwaju 4-3 ya Penalti.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: TP MAZEMBE YATINGA NUSU FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KWA MAUAJI YA KUTISHA DHIDI YA WAARABU
TP MAZEMBE YATINGA NUSU FAINALI YA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KWA MAUAJI YA KUTISHA DHIDI YA WAARABU
https://4.bp.blogspot.com/-0kVoQl4gwQ0/WcgWZwAhc2I/AAAAAAAAfOE/p0ThB8UzKPoiVBYAt01DfyYD-b_2NcczACLcBGAs/s1600/tp_mazembe_onze_2017-750x410.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-0kVoQl4gwQ0/WcgWZwAhc2I/AAAAAAAAfOE/p0ThB8UzKPoiVBYAt01DfyYD-b_2NcczACLcBGAs/s72-c/tp_mazembe_onze_2017-750x410.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/tp-mazembe-yatinga-nusu-fainali-ya.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/tp-mazembe-yatinga-nusu-fainali-ya.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy