Ubuyu mpya wa mahaba wanukia kwa Diamond Platnumz na staa wa Namibia

SHARE:

Mjasiriamali, Muigizaji na Mshindi wa Big Brother Africa msimu wa nane mwaka 2013 wa nchini Namibia Dillish Mathews na Staa wa muziki ...
Mjasiriamali, Muigizaji na Mshindi wa Big Brother Africa msimu wa nane mwaka 2013 wa nchini Namibia Dillish Mathews na Staa wa muziki wa Bongo Fleva Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz wameingia kwenye kuzungumziwa zaidi katika mitandao ya kijamii kupitia tetesi za kuwa kuna dalili za kuota kwa mimea ya mahusano ya kimapenzi kati yao.

Dillish MathewsKufuatia milolongo wa matukio ya picha za Dillish Mathews na Diamond Platnumz kuonekana kuwa inafanana katika sura ya kulandana kwa matukio zimeibuka rasha rasha za uvumi kuwa wawili hao hivi karibuni walitembelea Zanzibar kwa lengo la mapumziko huku ikitajwa hotel iliyoko ukanda wa bahari ya Hindi ya Diamonds La Gemma dell’Est kuwa ilitumika kwa mapumziko.

Muonekano wa sehemu ya kuvinjali katika Hotel ya Diamonds La Gemma dell’Est nyakati za usiku
Eneo la ufukwe la Hotel ya Diamonds La Gemma dell’EstKingine kilichowafanya baadhi kuongeza umakini katika kufatilia hiki kinachoendelea kusemekana, ni post iliyosambaa mitandaoni ikionesha kuwa moja ya akaunti ya Dillish alipost picha yenye maneno ya utata wa maneno na herufi za majina ambayo baadhi waliyatafsiri kuwa ni ufupisho wa jina lake Dillish mwenyewe na Diamond “Bae is Working. DND”.

Post ya Dillish Mathews iliyozua utataHili likiwa zima zima bado ni tetesi, chumba cha habari kinalifanyia kazi kujua muelekeo wa taarifa hizi ili kubaini ukweli ambao utaweka wazi uhai au kifo cha penzi la Zarinah Hassan ‘Zari’ na Diamond Platnumz.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Ubuyu mpya wa mahaba wanukia kwa Diamond Platnumz na staa wa Namibia
Ubuyu mpya wa mahaba wanukia kwa Diamond Platnumz na staa wa Namibia
http://dizzimonline.com/wp-content/uploads/2017/09/howwe_fc85f900b8b4edc7b1aa9c05202576cb_1428131153.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/ubuyu-mpya-wa-mahaba-wanukia-kwa.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/ubuyu-mpya-wa-mahaba-wanukia-kwa.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy