VIDEO MPYA YA SAIDA KAROLI AKIWA NA BELLE 9 & G NAKO – KICHAKA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)

Mwanamuziki Saida Karoli baada ya kurudi rasmi kwenye muziki, akaanza kutoa ngoma ya Orugambo, Septemba 3 ameachia ngoma nyingine inayokwenda kwa jina la Kichaka.
Katika wimbo huo mpya, Saida Karoli amewashirikisha wanamuziki Belle 9 na G Nako. Itazame video hiyo hapa chini;
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post