VIONGOZI WAWILI WA DINI WARUDISHA MABURUNGUTU YA ESCROW

Wakati sakata la uchotaji wa fedha za Escrow likiendelea kupamba moto, viongozi wawili wa dini ambao ni miongoni mwa walionufaika na fedha hizo.
Kwa mujibu wwa taarifa iliyotolewa, Askofu Msaidizi jimbo la Bukoba, Mhashamu Method Kilaini pamoja na Mhashamu Eusebius Nzigilwa wa Jimbo Kuu katoliki la Dar es salaam wametangaza nia ya kurejesha mgao wa fedha za Escrow ambazo walipewa na mfanyabiashara James Rugemalira.
Wakieleza sababu za kurudisha mgao huo wakati huu, viongozi hao wa dini walisema kuwa wamefanya hivyo kutokana na kuwapo kesi mahakamani ya uhujumu uchumi.
Hapa chini ni taarifa iliyotolewa na viongozi hao.
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post