Vitu ambavyo wanawake huvipenda sana kwa mwanamume

SHARE:

Kuna baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mambo mengi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mar...Kuna baadhi ya vitu ambavyo wanawake hutamani sana wanaume zao wawe wanajua katika mambo mengi, ili wasipate shida ya kumwambia mara kwa mara, jambo ambalo si wanawake wengi huwa na guts za kumwambia mtu, hapo ndipo unakuta mara nyingi mwanamke anaanza kuchepuka na kwenda kwa mtu mwingine wa kawaida tu kupata mahitaji yake. Basi usikonde, haya ni baadhi tu ya mambo ambayo wanawake wengi hutamani wanaume wawe wanajua kabisa bila hata ya kuambiwa.

Hupendelea tendo la ndoa lidumu zaidi ya dakika mbili

Wanawake hupenda hata ikibidi ifanyike siku nzima, ila cha zaidi si muda ambao una-matter, imetokea wanaume wengi kujali kujizuia, ilimradi wa-last muda mrefu katika tendo, but kutokana na tafiti hili sio ishu kabisa, wanawake wengi hupenda zaidi ya muda mrefu, hupenda ku-establish connection wakati huo, ambao unafanyika through Kissing etc vitu ambavyo wanaume wengi huwa hawafanyi na kukazania tu kukaa muda mrefu kujua kuwa ndio wanawake wanachotaka.

Ujasiri si sawa na kutumia nguvu

Kuna wanaume wengi huwa hawajui tofauti ya ujasiri na kutumia nguvu, hivyo wasikiapo kuwa inabidi uwe na ujasiri wanadhani kuwa kuna kutumia nguvu, wanawake wengi wamekuwa wakikerwa na kuogopeshwa na mambo ambayo hufanyiwa na wanaume zao, kipindi ambacho wanaume wakufikiri kufanya hivyo ni kuwa na ujasiri. wanawake hutamani sana wanaume wangejirekebisha na kujua maana halisi ya kuwa na ujasiri.

Sio wanawake wote hupenda vitu sawa

Hapa inatokea wanaume wengi kukariri kuwa, sababu tu ex-wake alikuwa anapenda kufanyiwa vitu fulani, basi na huyu wa sasa atakuwa hivyo hivyo, hii inatokea kuwachanganya sana wanawake, na kukereka kwa baadhi ya mambo, huku mwanamke akiwa hana jinsi bali kuvumilia tu, na mwisho wa siku ndio unakuta, ananza kutafuta way-out ya kukukwepa.

Wanawake wanapenda ufuate anachokitaka

Iko wazi sana kuwa mara nyingi kujua kuwa mwanamke anahitaji nini, ni kitendawili kwa wanaume walio wengi, hivyo ni vizuri kuwa makini na kugndua ni kitu gani hapendi, hii hutokea cause mara nyingi si wanawake wote wanaweza kukwambia ni nini hasa kinawauzi, kuogopa kukuudhi, hivyo inawafanya wapate shida sana na kuweka maisha yao yawe magumu, ila hupenda sana kuwa makini na matendo yao ili kujua tofauti ya vitu ambavyo hawapendi na vile vinavyowapa furaha.

Ni zaidi ya mapenzi na sio ufundi

Ni kweli wanawake wengi hukubali kuwa kuna wanume wenye ufundi/uzoefu katika haya mambo, ila hiyo sio ishu zaidi, kinachotakiwa ni mapenzi, kuonyesha mapenzi na dalili zote za kumjali ndio jambo muhimu sana. Baadhi ya wanawake wamewahi kufunguka na kukiri kuwa tztizo la wanaume zao si kitandani, ila ni mapenzi kwa ujumla yanapungua.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Vitu ambavyo wanawake huvipenda sana kwa mwanamume
Vitu ambavyo wanawake huvipenda sana kwa mwanamume
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/777777777.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/vitu-ambavyo-wanawake-huvipenda-sana.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/vitu-ambavyo-wanawake-huvipenda-sana.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy