WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAONYWA NA WAZIRI

SHARE:

Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wakuu wa Mikoa a Wakuu wa Wilaya kuacha tabia ya kuwaweka mahabusu kihole...

Waziri wa Afya, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amewataka wakuu wa Mikoa a Wakuu wa Wilaya kuacha tabia ya kuwaweka mahabusu kiholela watumishi wa umma kwa makosa ya kitaaluma.
Waziri Ummy, alitoa wito huo jana Septemba 25, wakati akizindua jengo la wodi ya wazazi na matibabu ya dharura katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo yaliyojengwa kwa udhamini wa Taasisi ya Dhi Nureyn.
Alisema watumishi wa Umma wanapofanya makosa ya kitaaluma, mamlaka zinazowasimamia ndizo zinazopaswa kuwashughulikia na si vinginevyo, kwani kitendo cha kuwaweka ndani kinawaondolea morali na ari ya kufanya kazi.
“Nakushukuru mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo sijawahi kusikia umefanya kitendo cha namna hiyo. Ukiona makosa ya kitaaluma walete juu tutawashughulikia,” alisema Ummy.
Jambo hili la wakuu wa Mikoa na wakuu wa Wilaya kutumia vibaya mamlaka walizo nazo kuwaweka mahabusu watumishi wa Umma linaonekana kuwa tatizo kwani si mara ya kwanza kwa mawaziri kulizungumzia hili.
Mapema mwaka huuu aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene, aliwataka  wakuu wa mikoa na wilaya kutekeleza majukumu yao huku wakijiweka kando na uwekaji mahabusu watu mara kwa mara.
Akifuatiwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Suleiman Jafo ambaye Septemba 16 mwaka huu, yeye aliwataka  wakuu wa mikoa na wilaya kuitumia vizuri sheria inayowapa mamlaka ya kuwaweka ndani watu katika maeneo yao.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAONYWA NA WAZIRI
WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WAONYWA NA WAZIRI
https://4.bp.blogspot.com/-abJUOysJDPA/WcpFkqNssII/AAAAAAAAfUk/Vsw5mKWoniguagH8goTX_NWdeVzQyciewCLcBGAs/s1600/pichealthminister.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-abJUOysJDPA/WcpFkqNssII/AAAAAAAAfUk/Vsw5mKWoniguagH8goTX_NWdeVzQyciewCLcBGAs/s72-c/pichealthminister.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/wakuu-wa-mikoa-na-wilaya-waonywa-na.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/wakuu-wa-mikoa-na-wilaya-waonywa-na.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy