WALICHOKISEMA WANASIASA WA TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI WA KENYA KUFUTWA

Leo Septemba 1, 2017 huko Kenya, Mahakama ya Juu imetangaza kufuta matokeo ya Urais na kutengua ushindi wa Rais Uhuru Kenyata kutokana Tume ya Uchaguzi kuonekana kuwa na makossa na mapungufu mengi.
Badala yake Mahakama imeamuru uchaguzi huo wa urais kurudiwa ndani ya siku sitini (60) kutoka sasa.
Jambo hili limeonekana kuwa la kihistoria na la namna yake kwani imekuwa ni mara ya kwanza barani Afrika kwa Mahakama kufuta uchaguzi wa urais.
Watu wengi wakiwamo wanasiasa na watu mashuhuri nchini Tanzania wametoa maoni mbalimbali kutokana na hatua hiyo iliyochukuliwa na Mahakama ya Juu ya nchini Kenya ya kufuta matokeo ya uchaguzi wa urais.
Yafuatayo ni maoni ya watu mbali mbali nchini kuhusiana na uchaguzi wa Kenya.

Kenya has proven to be a Civilized,democratic,strong and respected Judiciary system,Proper lesson to the rest of the world
At last! The Kenyan judiciary has demonstrated that it is possible to be African and truly democratic. Celebration to all democracy lovers!
Tusubiri Uchaguzi tuone kitakachotokea, lakini tunaendelea kujifunza sana kutoka kwa majirani zetu!Wako mbali sana. wa MAHAKAMA! https://twitter.com/angoj/status/903559851149754369 

Uamuzi wa mahakama ya Kenya kufuta uchaguzi unatoa somo moja tu Kwa Tanzania - KATIBA MPYA Ni lazima lazima lazima
Couldn't agree more. We knew all along that the so-called observers are partisans representing vested imperial interests. https://twitter.com/salimlone/status/903581042480644097 
Hongera Mahakama ya  kwa kusimamia sheria na katiba - watanzania tujifunze - we need strong systems not Big Man! 
Kukubali maandamano, kukubali kesi na kukubali matokeo tayari kinamna flan uhuru kaji brand na kujiongezea credibility smart boy


NUKUU YA LEO HUKUMU YA KENYA:

"Kama hawawezi kuheshimu Amri ya Mahakama kwenye ubomoaji wa nyumba ingekuaje kwenye matokeo ya urais? -Heche
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post