WATANZANIA 13 WAFARIKI KWENYE AJALI UGANDA

SHARE:

Watu 13 wameripotiwa kufariki dunia na wengine 8 wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika ba...

Watu 13 wameripotiwa kufariki dunia na wengine 8 wamejeruhiwa vibaya katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Kampala – Masaka nchini Uganda.
Ajali hiyo ilitokea jana usiku katika Kituo cha Biashara cha Lubanda karibu na Daraja la Kitonga katika Wilaya ya Mpigi.
Mashuhuda wa ajali hiyo wamesema kuwa, chanzo cha ajali hiyo ni baada ya tairi moja ya Fuso lenye namba UAH 970P kupasuka na kuparamia gari la abiria la Tanzania aina ya Coaster lenye namba za usajili T 540 DLC.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kitonga, Philip Mukasa amesema kuwa watu wote waliofariki dunia walikuwa abiria kwenye coaster ambapo kulikuwa na jumla ya abiria 19 kati yao 6 wamejeruhiwa.
Kwa mujibu wa tarrifa inayodaiwa kutolewa na Ubalozi wa Tanzania nchini humo imeeleza kuwa, basi hilo lilikuwa likiwarudisha Watanzania wa Familia ya Bw Gregory Teu ambao waliokwenda kwenye harusi tarehe 16/09/2017 hapa Kampala. Bibi harusi ni mtoto wa Bw na Bibi Gregory Teu wa Dar es salaam.
Waathirika katika ajali hiyo ni, Dativa M. Shayo, Fred Teu, Esther Gorreth Teu, Einoth Laizer, Bonny Edmund Mgambo, Rehema G. Teu, Esther A. Muisigira, Edward Kimayo, Sakazi Teu,Vivian Mchaki, Aristarick Shayo, Digna na Boniface Venance Kimayo ambaye alipatakana na bunduki.
Majeruhi wa ajali hiyo walipelekwa katika Hospitali ya Nkozi na Kituo cha Afya cha Double Cure Clinic kwa ajili ya matibabu lakini baadae walipewa rufaa ya kwenda katika Hospitali yaRufaa ya Taifa ya Mulago.
Miili ya waliopoteza uhai katika ajali hiyo imepelekwa katika Hospitali ya Gombe kwa ajili ya uchunguzi.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WATANZANIA 13 WAFARIKI KWENYE AJALI UGANDA
WATANZANIA 13 WAFARIKI KWENYE AJALI UGANDA
https://4.bp.blogspot.com/-B4u6SPLbirU/Wb_abkZMusI/AAAAAAAAe2o/MMtCG3_aPUoXzSze_OHOTUoYZDpf_ZgVQCLcBGAs/s1600/xWhatsApp-Image-2017-09-18-at-14.10.56-750x375.jpeg.pagespeed.ic.Bgs_KvN51F.webp
https://4.bp.blogspot.com/-B4u6SPLbirU/Wb_abkZMusI/AAAAAAAAe2o/MMtCG3_aPUoXzSze_OHOTUoYZDpf_ZgVQCLcBGAs/s72-c/xWhatsApp-Image-2017-09-18-at-14.10.56-750x375.jpeg.pagespeed.ic.Bgs_KvN51F.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/watanzania-13-wafariki-kwenye-ajali.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/watanzania-13-wafariki-kwenye-ajali.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy