WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA APOKEA SEHEMU YA VYEREHANI 25 VYA MSAADA, PIA AMJULIA HALI MBUNGE WA NEWALA VIJIJINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akipeana mkono na mkurugenzi wa taasisi ya African Relief Organization, Wakati akipokea cherehani ikiwa ni sehemu ya vyerehani 25 vya msaada, zilizo tolewa kwa Wananchi wa Ruangwa kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam Septemba 9, 2017, (kulia) ni Mratibu wa miradi wa African Relief Organization Bw. Khamis Mkanachi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza Mwananchi wa Wilaya ya Ruangwa Bw. Anzigar Kambanga, wakati alipoenda kumjulia hali katika Taasisi ya Jakaya Kikwete, iliyopo Muhimbili Septemba 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akimjulia hali Mbunge wa Newala Vijijini, Razak Rashid Akbar, wakati alipoenda kumjulia hali katika Taasisi ya Jakaya Kikwete, iliyopo Muhimbili Septemba 9, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Sambaza habari kwa marafiki

Author:

Best Tanzania, Africa and World News Blog, Gossip, Entertainment, Life and Health Tips, Employment and Opportunies,Celebs life and Scandals..... Updated Daily .

Previous Post
Next Post