WAZIRI NCHEMBA: Tundu Lissu atatusaidia kuwabaini watu wasiojulikana

SHARE:

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uchunguzi wa tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki,...Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, amesema kuwa uchunguzi wa tukio la kushambuliwa kwa risasi Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu litakuwa la mafanikio makubwa pale ambapo Mbunge huyo atapona na kurejea nchini.

Waziri Nchemba ameyazungumza hayo leo Alhamisi, Septemba 28 katika kipindi kinachorushwa na runinga ya Clouds, Clouds360 na kueleza kuwa wanaamini Tundu Lissu akipona atakuwa na mchango mkubwa katika kusaidia uchunguzi unaoendelea kufanywa na vyombo vya ulinzi na usalama vya nchi yetu.

“Lissu tunamuombea akishapona atatupa mchango mkubwa wa kusaidia uchunguzi, mtu akiwa kwenye maumivu makali huwezi kumuuliza lolote,” amesema Mwigulu.

Akizungumzia uchunguzi unaoendelea kuhusu tukio la kuvamiwa kwa Lissu, Waziri Nchemba amesema hawezi kueleza waliokamatwa ila tayari magari zaidi ya 10 yanayofanana na lililohusika kwenye tukio yamekamatwa na wahusika kuendelea kuchunguzwa.

Aidha Waziri Nchemba, amewataka watanzania kuwa na uvumilivu na imani na vyombo vya ulinzi na usalama vya hapa nchini kwani vinafanya kazi kubwa ya kuilinda amani ya nchi pamoja na kuhakikisha usalama kwa kila raia.

Alipoulizwa kuhusu watu waiojulikana, Waziri nchemba alieleza kuwa ni watu wanaofanya matukio ya uhalifu na kutoweka bila ya kujulikana na lengo la serikali ni kutaka kuwabaini watu hao na kuwaweka hadharani.

Aliongeza kuwa baada ya kufanya uchunguzi kwa baadhi ya watu hao waliohusika katika matukio mbalimbali, walibaini kuwa miongoni mwao wapo raia wa Tanzania na wasio watanzania.

Pia amewataka wananchi kutokuwa na uoga bali kuwa na amani kwani vyombo vya ulinzi na usalama viko makini kuhakikisha usalama wao.

“Hatujui watu wasiojulikana wanapanga nini, ila nawahakikishia Watanzania kuhusu usalama wao.
Tutapambana na mhalifu wa aina yoyote na tutachukua hatua mara moja bila kusita,” amesema.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WAZIRI NCHEMBA: Tundu Lissu atatusaidia kuwabaini watu wasiojulikana
WAZIRI NCHEMBA: Tundu Lissu atatusaidia kuwabaini watu wasiojulikana
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/DKyRXPoW4AAMxCZ.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/waziri-nchemba-tundu-lissu-atatusaidia.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/waziri-nchemba-tundu-lissu-atatusaidia.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy