WEMA ALAMBA DILI LA MIL. 400

SHARE:

Staa mkali wa sinema za Kibongo asiyechuja Bongo, Wema Isaac Sepetu. DAR ES SALAAM: Staa mkali wa sinema za Kibongo asiyechuja Bong...

Staa mkali wa sinema za Kibongo asiyechuja Bongo, Wema Isaac Sepetu.

DAR ES SALAAM: Staa mkali wa sinema za Kibongo asiyechuja Bongo, Wema Isaac Sepetu, anadaiwa kulamba dili nono la shilingi milioni 400 kutoka kwenye kampuni moja kubwa ya ving’amuzi Afrika yenye makao yake makuu nchini Afrika Kusini.

Habari kutoka kwenye chanzo cha kuaminika ambacho ni mtu wa karibu wa staa huyo zilieleza kuwa, dili hilo alilopata Wema ni kwa ajili ya kutengeneza tamthilia na sinema kupitia kampuni yake ya Endless Fame ambazo zitaruka kwenye kituo hicho na kuambulia donge hilo nono.
“Wema sasa hivi atakuwa mtu mwingine kabisa kwa sababu dili hilo akikabidhiwa kabisa atarejea kwenye ile status yake ya kuitwa pedeshee mwanamke na hata marafiki waliokuwa wameyeyuka watarudi,” kilinyetisha chanzo hicho.
Mpashaji huyo aliendelea kufunguka kuwa, Wema anatarajia kuwakusanya kampani yake yote ya Endless Fame kwa ajili ya tenda hiyo ambayo itakuwa ni ya aina yake.

Baada ya kudaka habari hizo njema kuhusu Wema ambaye wengine humuita ‘Keki ya Taifa’ au ‘Tanzania Sweetheart’, Ijumaa Wikienda lilimsaka lakini halikufanikiwa badala yake lilimpata mmoja wa waratibu wa kazi zake ambaye alikiri kuwepo kwa dili hilo, lakini bado halijakamilika mpaka leo (Jumatatu).

“Duh! Ninyi noma, mmeinyaka? Ni kweli hilo dili lipo, lakini nafikiri litakamilika Jumatatu ijayo (leo),” alinyetisha mdau huyo.
Hadi gazeti hili linakwenda mitamboni, simu ya Wema ilikuwa ikiita bila kupokelewa na hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa SMS hakuwa amejibu

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,73,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,273,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,13,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,567,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3301,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,333,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,386,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,68,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1379,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1286,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: WEMA ALAMBA DILI LA MIL. 400
WEMA ALAMBA DILI LA MIL. 400
https://4.bp.blogspot.com/-4KQFPV9CC-U/WazunEYVlFI/AAAAAAAAeSU/HkOSnDb8_xop2SYV5D0vXy4Bn0PhFd_0gCEwYBhgL/s1600/WEMA-SEPETU-5-Copy.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-4KQFPV9CC-U/WazunEYVlFI/AAAAAAAAeSU/HkOSnDb8_xop2SYV5D0vXy4Bn0PhFd_0gCEwYBhgL/s72-c/WEMA-SEPETU-5-Copy.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/wema-alamba-dili-la-mil-400.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/wema-alamba-dili-la-mil-400.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy