Wema Sepetu alia tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi

SHARE:

Daah! Tukio lililotokea mchana wa Alhamisi hii kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu limewaumiza watu wen...

Daah! Tukio lililotokea mchana wa Alhamisi hii kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu limewaumiza watu wengi ndani na nje ya Tanzania, miongni mwao ni malkia wa filsamu nchini Wema Sepetu.Hii ni picha ya gari la Tundu Lissu ambalo limepigwa risasi na mwenyewe akiwemo

Mrembo huyo atakuwa anaumia zaidi kuliko hata watu wengine kutokana na ukaribu wake na Mbunge huyo ambaye wote kwa pamoja wanakitumikia chama cha Chadema na kubwa zaidi ni wakili wake anayesimamia kesi ya madawa ya kulevya inayomkabili muigizaji huyo.

Kupitia mtandao wa Instagram, Wema ameandika:
Kwanza wamuhangaishe kila kukicha kesi haziishi… Akisema kitu uchochezi, sasa kakataa kukaa kimya ndo wameona wamuue…. NO!!! Watanzania kama tutaendelea kufumbia macho huu uonevu then hatutofika tunapotaka… Kero zinazidi kila kukicha… Ndugu zetu wanaonewa kila kukicha… And wat do we do…? Tunakaa Kimya… Jamani kwa hili tuombe tu Mungu huyu baba apone… Nikimaanisha, huko alipo sasa Mungu amsimamie na arudi kwenye hali yake…. Hii sasa imekuwa too much… This is something No One Can Take… Sidhani kama kuna Mtanzania yoyote anaependa hali ya nchi inavyoendelea kuwa kadri siku zinavyozidi kwenda… Ni nini hiki jamani…??? Oh Lord help my Uncle… If anything happens to him then nadhani wengi wetu vitatutokea maana hatutokaa KIMYA…!!! Ni kutokukaa kimya ndo kumepelekea haya yote kutokea… Nimeikumbuka Tanzania yetu ya miaka kama miwili iliopita… Sio Tanzania hii isio na Amani… … Nchi gani sijui hii… Mungu tusaidie…!!! I’m Praying for you Uncle wangu…

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Wema Sepetu alia tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi
Wema Sepetu alia tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi
http://zotekaliblog.com/wp-content/uploads/2017/09/IMG-20170907-WA0064.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/wema-sepetu-alia-tukio-la-tundu-lissu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/wema-sepetu-alia-tukio-la-tundu-lissu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy