Z Anto: Tutairejesha ‘Tip Top Connection’ ya zaman

SHARE:

Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini aliye wahi kutamba nyimbo ya Bint kiziwi ‘Z Anto’ aweka wazi mikakati ya kurudi kwa kundi la Tip top ...

Mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini aliye wahi kutamba nyimbo ya Bint kiziwi ‘Z Anto’ aweka wazi mikakati ya kurudi kwa kundi la Tip top Connectio kundi mbalo liliwahi kujizolea umaarufu mkubwa.

Z Anto ambaye kwa sasa hayupo katika kundi la Tip Top amesema kuwa amekutana na uongozi wa kundi hilo pamoja na baadhi ya wasanii na kuzungumza juu ya kuirejesha Tip Top wakati walipokuwa kwenye ibada fupi ya kumuombea muanzilishi wa kundi hilo marehemu Abdul Bonge.

‘’Nilipata wasaa mzuri wa kukutana na uongozi wa ‘Tip Top Connection’ wakati ambao tulikutana kwa ajiri ya kufanya ibada ya kumuombea Abdul Bonge na kuzungumza mikakati ya kuirejesha Tip Top na tumefikia pazuri kiasi cha kuwepo uwezekano mkubwa wa kuirejesha Tip Top ya zamani’’ amesema Z anto.

Hata hivyo, Z Anto katika hatua nyingine amezungumzia ukimya wake na kufunguka kuwa hakuwa kimya kwakuwa ameshindwa kufanya mziki na kuwaahidi mashabiki wake wakae tayari kwa ujio wake mpya ambapo juma tatu Septemba 11, mwaka huu ataachia nyimbo yake mpya.

Kundi la Tip Top Connection hapo awali lilikuwa na wasii kama vile Z Anto,Kassim Mganga, Spark, Mb Doggy, Tunda Man, Rayvany, Madee, Keysha Pamoja na Dogo Janja, kwa sasa Tip Top inajumla ya wasanii watatu ambo ni Dogo Janja, Tunda Man pamoja na Madee.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: Z Anto: Tutairejesha ‘Tip Top Connection’ ya zaman
Z Anto: Tutairejesha ‘Tip Top Connection’ ya zaman
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/z-anto-tutairejesha-tip-top-connection.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/z-anto-tutairejesha-tip-top-connection.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy