ZITTO KABWE: NIPO KAMA MWENDAWAZIMU

SHARE:

Zitto Kabwe akikagua gofu la nyumba yake iliyoteketea kwa moto kigoma. KIONGOZI  wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Mh. Z...


Zitto Kabwe akikagua gofu la nyumba yake iliyoteketea kwa moto kigoma.
KIONGOZI wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Kigoma mjini, Mh. Zitto Kabwe amefunguka na kusema kwamba uchungu anaoupata baada ya nyumba yake ya kwanza kuungua moto umemfanya kuwafikiria wananchi wanaobomolewa nyumba zao bila fidia.
Zitto amebainisha hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook baada ya kutazama nyumba yake ya kwanza iliyoteketea kwa ajali ya moto mwishoni mwa wiki iliyopita.
“Sikudhani kabisa kuwa naweza kuumizwa na kupata uchungu kwa tukio kama hili na ninajiuliza huu uchungu ni wa nini? Kumbe ni uchungu wa nyumba ya kwanza. Nawafikiria wananchi wenzangu wanaobomolewa nyumba zao bila fidia, na wengi ni nyumba zao za kwanza na pekee. Uchungu wao nausikia. Hasira zao nazihisi,”  Zitto ameandika.
Ameongeza kuwa “Nafikiria wanaobomolewa maeneo ambayo yamekuwa sehemu ya maisha yao na kuwapa kipato na familia zao. Nausikia uchungu wao. Sio uchungu wa nyumba ya kwanza. Uchungu wa kupoteza kabisa walichonacho na pengine kupoteza matumaini ya maisha.”
Pamoja na hayo Zitto amesema kuwa ameridhika kwamba kilichotokea kwenye nyumba yake kuungua moto ni ajali ya kawaida na wala watu wasichukulie kwa muktadha wa matukio yanayoendelea nchini kwetu hivi sasa.
“Ni ajali na funzo ni kuchukua tahadhari zaidi. Hasara ni kubwa sana lakini muhimu ni kuwa maisha yanaendelea na Mungu ataleta uwezo wa kuendeleza mengine. Nilipata salaam kutoka kwa watu wengi na napenda kuthibitisha kuwa ni ajali tu,” Zitto.
Mbali na hayo Mh. Zitto Kabwe amesema kuwa nyumba yake imeungua siku moja baada ya yeye kuondoka Kigoma na akiwa njiani kuelekea nchini Kenya ndipo alipatiwa taarifa kuhusu ajali hiyo. 
“Ajali imetokea siku moja tu baada ya mimi kutoka Kigoma, Septemba 15 ,  2017. Hata hivyo muda wote wa siku 2 nikiwa nje ya Kigoma, sikupata hisia kabisa. Labda ni kwa sababu ya safari yangu ya Kenya ambayo nayo haikuwa ni kwa jambo la kawaida” Zitto.
Aidha Mh Zitto ameongeza “Leo asubuhi nimeamka na kurudi kutazama nyumba hii. Imekwisha yote nimezunguka zaidi ya mara 3 kutazama gofu lile lile nililotazama jana baada ya kufika. Nimechungulia chumba nilichokuwa nalala zaidi ya mara moja. Nipo kama mwendawazimu,” alisisitiza Zitto Kabwe.
Nyumba ya Zitto Kabwe iliyoungua huko Mwandiga mkoani Kigoma inadaiwa ndiyo nyumba yake ya kwanza baada ya kupata  ridhaa ya kuwa mbunge

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ZITTO KABWE: NIPO KAMA MWENDAWAZIMU
ZITTO KABWE: NIPO KAMA MWENDAWAZIMU
https://4.bp.blogspot.com/-TziM2PVVQg0/WcE3e-Gn8_I/AAAAAAAAe7I/0d-9t3QnB_M4cvsEeg2E1-X_z9F_41xVQCLcBGAs/s1600/zitto-kabwe-1-moto.jpg
https://4.bp.blogspot.com/-TziM2PVVQg0/WcE3e-Gn8_I/AAAAAAAAe7I/0d-9t3QnB_M4cvsEeg2E1-X_z9F_41xVQCLcBGAs/s72-c/zitto-kabwe-1-moto.jpg
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/zitto-kabwe-nipo-kama-mwendawazimu.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/zitto-kabwe-nipo-kama-mwendawazimu.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy