ZITTO KUPIGWA MARUFUKU KUZUNGUMZA BUNGENI

SHARE:

Kwa mara nyingine tena Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (Mb) amemuagiza Zitto Kabwe kufika mbele ya Kamati y...

Kwa mara nyingine tena Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (Mb) amemuagiza Zitto Kabwe kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya Bunge kuhojiwa kutokana na kuendelea kuudhalilisha mhimili wa Bunge.
Spika Ndugai ametoa agizo hilo leo katika kikao cha Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma ambapo amesema, Zitto Kabwe ambaye ni Mbunge wa Kigoma Mjini ameendelea kudhalilisha mhimili huo licha ya kuwa ameonywa na kutakiwa kufika mbele ya kamati kujieleza sababu za kufanya hivyo.
Akizungumza baada ya kipindi cha maswali na majibu, Ndugai amesema kuwa anaweza kumzuia Zitto asiongee bungeni katika kipindi chote cha ubunge na kwamba hatakuwa na kitu cha kumfanya.
“Zitto utapambana na spika kweli! Naweza kukupiga marufuku kuongea humu mpaka miaka yako yote ikaisha na hakuna pakwenda. Hakuna cha swali, hakuna cha nyongeza, hakuna cha kuongea chochote humu ndani ya Bunge. Utanifanya nini?”
Aidha Spika Ndugai amemtaka Mbunge Zitto Kabwe kupambana na kitu kingine lakini sio yeye.
Awali jana Zitto alitakiwa kufika mbele ya kamati kuhojiwa baada ya kusema kuwa mhimili wa bunge umewekwa mfukoni na mhimili fulani wa serikali.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter jana, Zitto aliendelea kuandika habari zilizokosoa namna Spika Ndugai anavyouongoza mhimili huo huku akisema kwamba hajafika hata asilimia 10 ya Annie Makinda.
Spika Ndugai @bunge_tz anajua ninavyomheshimu. Kama imefikia haoni heshima ya Bunge inavyoporomoka namsikitikia.Nitakwenda Kamati ya Maadili
Wabunge wazoefu tulikuwa na matumaini makubwa na Spika Ndugai @bunge_tz,tulimpigania dhidi ya njama za kumhujumu kutoka Ikulu. Anatuangusha
Spika Ndugai @bunge_tz angejua nguvu aliyonayo kukabili udikteta unaonyemelea nchi yetu asingehangaika na ukosoaji wenye staha tunaoufanya
Hatujawahi kuwa na Spika anayedhalilishwa Na Rais Kwamba aliuliza wajumbe gani awaweke Kamati za uchunguzi za Bunge. @bunge_tz 🤷‍♂️
Kwenye mazishi ya Spika wa Watu Mzee Sitta, Ndugai aliomba afike japo robo ya Sitta. Hajafika hata 10% ya Anna Makinda miaka 2 Sasa

“Kwa haya ya Spika sina sababu nayo, lakini ya kulidharau Bunge hayo sitaweza kuyavumilia nitalinda mhimili huu kwa nguvu zangu zote,” amesema Ndugai.

Nguai amesema kuwa, kama atawaacha wabunge waudharau mhimili huo, atashindwa kuwashughulikia wananchi huko nje ambao wataudharau mhimili huo.

COMMENTS

JIUNGE NA ZOTEKALI BLOG
Katika FACEBOOK, TWITTER, INSTAGRAM ili kupata habari zetu kirahisi install app ya ZOTEKALI BLOG HAPA
HTML tutorial

Name

Advertise,33,Afya,72,Beauty,2,Entertaiment,1155,Entertainment,268,EPL,3,Events,4,Fashion,5,Gospel,1,Gossip,11,Hash kinywele,1,Hemed Phd,1,Hemedy Phd,1,Historia,3,Hot kiss,1,Idris Sultan,2,Instagram,1,Interview Questions & Answers,1,Irene,1,Itir Esen,1,Jacqueline Wolper,2,Janet Jackson,1,Jay Maiko,1,Jay Malley,1,Jay z,1,Jaydee,1,Jaygga,1,JB,1,Jishindie,1,Joh Makini,1,Judith Wambura,1,Juma Nature,1,Justin Bieber,1,Jux,1,Kajala Masanja,1,Kala Jeremah,1,Kanye West,2,Kathy Griffin,1,Katuni,18,Kevin Hart,1,Khalighraph Jones,1,Kilimo,7,Kim Kardashian,2,Kimataifa,565,Kiss by Wema,1,Kitaifa,3293,Kukosa Choo,1,Kylie Jenner,1,Lady Jaydee,3,Lee Su Jin,1,Lifestyle,87,Lil Wayne,1,Lulu Diva,3,Mad Ice,1,Madee,2,Magazeti,332,Mahusiano,7,Mai,1,Maimartha Jesse,1,Makala,383,Makomando,1,Malaika,1,Manji,1,Mapenzi,20,Mapishi,2,Mashairi,4,Masogange,1,Mastaa,29,Matonya,1,Matukio,77,Mau Fundi,1,Mc Pilipili,1,mitindo,2,mjamzito,1,Monah,1,Mp3,113,Mr. T Touch,2,Msami,2,Music,346,Mwana FA,1,mwanamke,1,Nafasi za kazi,67,Nahreel,1,Nas B,1,Nash Mc,1,Nay Wa Mitego,6,Nedy Music,2,News,1,Ney Wa Mitego,1,nguvu za kiume,1,Ngwea,1,Nicki Minaj,2,Nikki Wa Pili,1,Nuh Mziwanda,3,nyama ya nguruwe,1,nyusi,1,Ochu,1,Off Shouder Ball Flora Top,1,Ommy Dimpoz,2,Omotola Jalade,1,P The Mc,3,Picha,656,Puff Daddy,1,Q Boy Msafi,3,Quick Rock,1,Quick Rocka,2,Rapper wa Marekani,1,Rayvan,1,Rayvanny,2,Rihanna,2,Rockstar 4000,1,Roma,1,Rummy,1,RunTown,1,Saida Karoli,1,Sauti Sol,1,Selena Gomez,1,Seline,1,Serena Williams,1,Shamfa Ford,1,Shetta,1,Shilole,4,Shishi,1,show kali,1,Siasa,1376,Simba SC,1,Simulizi,1,Smartphone,1,Sports,1284,Stamina,1,Stori kubwa,6,Tangazo,1,Technology,32,Tip Top Connection,1,Tiwa savage,1,Tom Ford,1,Travis Scott,1,Tunda,1,Uchaguzi kenya,1,Uchebe,2,Ucheshi,22,Udaku,49,Umbea,55,Urembo,12,Ushauri,1,Uyee,1,Vera Sidika,2,Video,137,Videos,19,Vitu Amazing,2,VPL,1,Vyakula,1,Wakali Kwanza,1,Wanawake,1,WCB,1,Wema sepetu,8,Witness,1,Wizkid,2,Yamoto Band,1,Young Dee,4,Young Killer,1,Z Anto,1,Zarinah Hassan,1,Zasta,1,Zote kali Tv,132,Zuwena Mohamed,1,
ltr
item
Zotekali Blog: ZITTO KUPIGWA MARUFUKU KUZUNGUMZA BUNGENI
ZITTO KUPIGWA MARUFUKU KUZUNGUMZA BUNGENI
https://3.bp.blogspot.com/-4vnIv5viTPU/Wblwdp7Az3I/AAAAAAAAerA/f1j-xoguj7UeSzQdpHksJoIgr8MQjraHACLcBGAs/s1600/xmaxresdefault-3-750x375.jpg.pagespeed.ic.5yBRW8sBi4.webp
https://3.bp.blogspot.com/-4vnIv5viTPU/Wblwdp7Az3I/AAAAAAAAerA/f1j-xoguj7UeSzQdpHksJoIgr8MQjraHACLcBGAs/s72-c/xmaxresdefault-3-750x375.jpg.pagespeed.ic.5yBRW8sBi4.webp
Zotekali Blog
http://www.zotekali.com/2017/09/zitto-kupigwa-marufuku-kuzungumza_13.html
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/
http://www.zotekali.com/2017/09/zitto-kupigwa-marufuku-kuzungumza_13.html
true
373551996072538542
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy